Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi.
Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.
Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.
Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in...
Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Simple sana.
Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM.
Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM.
Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM.
Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine.
Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi:
1. Intelligence
2. Usiri
3. Uaminifu
4. Uwezo to make it happen
Mengine ni added advantage.
1. Tundu Lissu - eneo la sheria
2. Peter Kibatala - eneo la sheria
3. Chief-Mkwawa - eneo la Teck...
Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania.
Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala.
Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa.
Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema.
Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle.
Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less.
Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe.
Wameshapigwa ki ufasaha...
Pose like you only mind your own business, umuhimu wake kwako ni wa kawaida sana huna shobo kiviiile.
Instead mpigie simu mama yako ama someone else unayemkubali kwenye harakati zako.
Wanaume watanielewa.
God Bless men. Amen.
Tuache siasa kwa kila kitu.
Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu.
Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana.
Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa...
Ndio mwelekeo wa Taifa letu.
Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr.
Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ni moja wa MaDr wakubwa wa uchumi tulio nao hapa nchini. Tunajivunia.
Bahati nzuri kwake yupo kabisa kwenye 'core system' yaani ni policy maker mwenyewe hivyo hana cha kusingizia.
Je, kwa uwezo wake wa kitaaluma kwenye masuala ya kiuchumi, imekuaje...
Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa.
Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi.
Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.
Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.
Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga.
Kutokana na mabadiliko...
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko.
Hakikisha F.4 unakung'uta Div 1 kali ajabu somewhere around point 7, 8, 9 na kuishia 14.
Then, nenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.