mwenendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

    Habari: Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
  2. B

    Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

    Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022.. https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
  3. Imruu

    Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
  4. Nifah

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi! Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana...
  5. Zacht

    Ufaransa imekasirishwa na mwenendo wa Marekani kuhusu Niger

    Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
  6. JanguKamaJangu

    CAF yaombwa na Wadau wa soka wa Cameroon kuchunguza madai ya mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imesema linafanya uchunguzi baada ya kupata malalamiko kutoka kwa Wadau wa Cameroon wakitaka kuchunguzwa kwa mwenendo usiofaa wa Samuel Eto’o ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT). CAF inachunguza maombi haya kwa kuzingatia na kwa mujibu...
  7. Suzy Elias

    Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

    Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu." "....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
  8. Msanii

    Naam, kwa mwenendo huu CCM inajifuta kwenye siasa za Tanzania

    Mimi ni mtu wa kawaida sana. Kauli hii inaweza usiione ina impact kubwa Inawezekana kabisa nisiione keshokutwa yangu, lakini nimejidhihirisha kuwa sauti yenye Mamlaka imeshatamka niliyoandika kwenye kichwa cha uzi huu. Tumezoea kuishi kwa hofu. Mkuu wa chama ndiye amiri Amiri anaapa kwa kutii...
  9. mgt software

    Barua ya wazi kwa Rais Samia juu ya mwenendo, kiburi, dharau na majivuno ya Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchimbi

    BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN JUU YA MWENENDO, KIBURI, DHARAU NA MAJIVUNO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DR MWIGULU LAMECK NCHEMBA Na Byemelwa Adonis (akatanyukwi're kebangira) Ndugu Mheshimiwa Raisi nachukua nafasi hii kukupongeza Kwa kazi...
  10. comte

    Kushuka kwa bei ya disesel ni matunda ya kuheshimu mwenendo wa soko

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za ukomo wa mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa huku bei ya bidhaa hizo ikipungua ikilinganishwa na mwezi Machi. Italeta ahueni ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
  11. H

    Kweli jina linasadifu mwenendo muhusika

    Wakuu leo nimejikuta natamani nami kutoa maoni yangu kwa jukwaa hili Mie si mwandishi mzuri lakini nadhani moderator watanivumilia nifikishe hiki nilichokishuhudia. Nikiri kuwa Mheshmiwa Rais Samia Suluhu Hasani ni mfano wa kuigwa wa demokrasia za kusini mwa jangwa la Sahara...
  12. system hacker

    Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  13. HIMARS

    Deni la Zanzibar ladhaminiwa kwa 73% na Tanzania

    Mwenendo wa deni la Zanzibar 2017/18 - Bilioni 472.5 2018/19 - Bilioni 806.8 2019/20- Bilioni 824.5 2020/21 - Bilioni 887 2021/22 - Trilioni 1.2 https://t.co/YuSI0usKt4 Hawa watu sisi ndio twawadhamini ila wanatuletea kiburi na jeuri. Na hapo bado sisi twawapa zaidi ya Asilimia 4 kwenye...
  14. M

    Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha

    Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
  15. T

    Kwa mwenendo huu wa kukatika ovyo kwa umeme kunavyotutesa tutake tusitake tutamkumbuka Magufuli

    Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana. Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke Magufuli, maana...
  16. BARD AI

    Aliyeghushi nyaraka za kesi ya ndoa afungwa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Tuwaha Muze (44) baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ambayo ni kughushi makubaliano ya uongo na kuwasilisha nyaraka za uongo za mwenendo wa kesi ya ndoa. Pia, mahakama hiyo imemhukumu Samson Tuwaha, kifungo...
  17. Mimah0005

    SoC02 Mwenendo wa elimu Tanzania

    Maana halisi ya elimu Elimu ni tendo la uzoefu wenye athari ya kujenga akili tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi,vile vile tunaweza kusema elimu ni mafunzo tunayopata kutoka kwa watu wengine ili kukuza maarifa yetu juu ya ulimwengu unaotuzunguka vile vile elimu hukuza fikra zetu maadili...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    Kwa Mwenendo wa Uongozi wa Rais Samia, hadi sasa ameshafanikiwa kukata Vilimi vya Wapinzani Wake

    Nawasalimu kwa jina la JMT..Kasi iendelee.. Ukweli usemwe tuu,kiufupi ni kwamba hadi sasa Rais Samia amefanikiwa kukata ngebe,Vilimi na wasiwasi wa wapinzani wake hasa Sukuma gang na Chadomo ambao waliamini angeshindwa kuongoza Nchi au labda kungekuwa na ombwe la kiungozi. Baada ya Uongozi...
  19. SULEIMAN ABEID

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina azungumzia bungeni kuhusu mwenendo wa bei za mbolea nchini

    MWENENDO WA BEI ZA MBOLEA NCHINI Mheshimiwa Spika, kwa kuwa hapo awali sababu za kupanda kwa bei ya mbolea ukiacha sababu za vita ya Urusi na Ukraine na janga la UVIKO – 19, hazikuweza kuelezwa kikamilifu. Kwa kuwa wewe ndiye Waziri wa Fedha mwenye dhamana ya kusimamia sera za fedha na bajeti...
Back
Top Bottom