Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,331
24,240
Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo

NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022..


View: https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo

Ambazo Tanganyika Law Report walijitahidi kuchapisha zilizolenga kesi mashuhuri zilizowahi zilizosikilizwa Tanzania kwa ajili ya rejea kwa wadau wa sheria na umma kwa ujumla wanaotaka kufahamu kesi mkakati za masuala kama ya kisiasa, haki za binadamu, kijamii, kiuchumi.

Miaka 10 hadi sasa Tanganyika Law Report walikuwa hawajawahi kuchapa. Kazi data huwezi kuzipata katika mtandao wa TANZLII Home - TanzLII , hivyo kitabu hiki cha leo kitakuwa na mambo mengi mazito yaliyowahi kufika mbele ya mahakama zetu za Tanzania


Manguli wa sheria jaji mstaafu O Chande wa Tanzania,, Dr. Willy Mutunga – Chief Justice Republic of Kenya, (2011-2016) Jenerali Ulimwengu, prof. Issa Shivji na wengine wanatoa maoni ya haki za jinai mapungufu ya 2019 ya Plea Bargain, Kesi ya Mtikila, Makampuni, maslahi ya umma kuanzia 1983 hadi 2022 na kitakuwa kinatoka kila mara kuangali jinsi zinavyoamuliwa na manguli hawa wa Yearbook kukosoa inapobidi ....

1713293209654.png
 
16 April 2024

Willy Mutunga and Ex-Chief Justice of Tanzania Mohamed Chande Othman Share Experience on Law


View: https://m.youtube.com/watch?v=MJSFhZsV01Y

Former Chief Justice of Kenya Willy Mutunga an alumni of UDSM and the Former Chief Justice of Tanzania Mohamed Chande Othman shares experience during the launch of the Tanzania Yearbook of Public Law 2022 at the Serena hotel in Dar es Salaam on April 16,2024.
 
Je kesi ya kumbumba ya ugaidi ya Mbowe iliyowaacha serikali na aibu itakuwemo?

Hii nayo ni mojawapo ya kesi inayoangukia ya kisiasa, nguli hawa muhimu kuipitia ili umma ujifunze na kusaidia mfumo wa Haki jinai kuacha kutumiwa ...
 
HOJA UZI / THREAD HII IRUDISHWE JUKWAA LA SIASA

Kwenu :
Maxence Melo na JamiiForums moderator :

  1. Active : Content Quality Controller​

  2. BlackBold : Content Manager
  3. Boqin : Content Manager
  4. Bridger : Content Manager​

uzi huu umejaa manufaa ya umma na siyo uzi wa kitaaluma pekee yake, hivyo kwa manufaa mapana na ushikirishwaji umma, watunga sera, wagawaji bajeti kwa mahakama kutoka serikali kuu, mahusiano na mihimili mingine ya dola, mahusiano wa Mahakama na vyombo vya habari n.k uzi huu urejeshwe jukwaa la siasa ambapo siasa ndiyo kila kitu ktk maisha.

Na nguli wa sheria wamesema elimu hii ni kwa ajili ya watu wote majaji, wanasheria na watu wa kawaida
 
Back
Top Bottom