Salaam wakuu naomba niende moja kwa moja kwenye mada, jamani hili linaloendelea viwandani linanihuzunisha, hivi ni kweli haya malalamiko hayawafikii viongozi wanaohusika? Au wananyamaza kwa lengo maalum? na ni lengo gani hasa yaani maswali ni mengi kuliko majibu,
Inafahamika wazi kabisa kwamba...
UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA
Imeandikwa na: MwlRCT
I. Utangulizi
Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania?
Uwajibikaji una faida nyingi, kama vile kuongeza uwazi, ufanisi, usalama, uaminifu, ushirikiano...
Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ".
Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !!
Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
Kutokana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kumekuwepo na maeneo mengi sana ya nchi ambayo hupata mvua ndani ya mwezi na nusu tu na mvua hupotea mazima, au wanapata mvua miezi miwili pekee.
Arusha ni moja ya maeneo ambayo kwa miaka mitatu sasa wanapata mvua chini ya wastani na hivyo mazao hasa...
Umaskini ni hali ya kukosa kumudu mahitaji ya msingi kwa binadamu,mfano Chakula,mavazi na malazi.
Janga hili kwa sehemu kubwa bado Lina ikumba bara la Africa,Mwalimu Nyerere,alisema "taifa lina adui watatu ambao wanapaswa kuwatokomeza ambao ni Ujinga,maradhi,na umaskini".Kwa kiasi kikubwa ujinga...
Salamu tawapa mchana!
Watu wengi wannamini watumishi wanapaswa kujiongeza kwa kufanya shughuli zingine nje ya career yao au nje ya ofisi ndipo wataweza kuishi kwa ustawi. Mtumishi hakupaswa kabisa kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya shughuli za serikali anazopangiwa na mwajiri wake...
Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata.
Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi kukaa ni shida, tunaomba mchango wenu.
Changia kistaarabu.
Wakuu,
Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine.
NB: mtu...
Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara.
Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa...
UTANGULIZI
TCRA NI NINI ?
Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa huduma za msingi, na hali ya jumla ya kutokuwa na matumaini miongoni mwa watu. Hata hivyo, kuna...
Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo;
1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa
2. Kuvunjika kwa milango na...
Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago
Najielekeza kwenye hoja yangu sasa...
Wakuu, salam kwenu
Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder.
Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri.
Nilijaribu...
Hapa ninapoandika umeme umekata, Sijui ni lini umeme kukatika itakua historia, at least kwa mwezi ukatike mara moja.
Kwa mfano eneo ninapoishi,
Ndano ya siku kumi (10)
1. Wameka umeme kuanzia asubuhi hadi jioni giza laanza kuingia mara tatu (3).
2. Wamekata umeme usiku kuanzia mida ya saa nne...
Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi
Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine.
Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla.
Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila ajira ni chache, hivi tujiulize kidogo, tumewahi kubuni ajira ambazo hazijafikiriwa bado?
Ni wazi...
Mfanyakazi wa Lake oil akimgudumia mteja ambapo kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia mauzo bila kuwepo vituoni.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya huduma za malipo ya Pesapal imeanzisha huduma mpya ya kusaidia kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.