Search results

  1. Lycaon pictus

    Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  2. Lycaon pictus

    Bongo usijaribu kukata tiketi VIP, utatapeliwa

    Wabongo huwa hawajali kumhudumia mtu. Ukiisha walipa imetoka hiyo. Juzi kati Yanga walikuwa na mechi watu waliingia bure na VIP walilipia. Watu wa VIP kufika uwanjani wanaambiwa siti za VIP zimejaa, hawataweza kuingia. Jana Cheka Tu walikuwa na show yao mlimani siti. VIP 40k regula 20K. Kama...
  3. Lycaon pictus

    Aina ya siasa anazofanya Makonda ndiyo jamii inazitaka kwa sasa

    Sijawahi mkubali na bado simkubali Paul Makonda. Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa aina ya siasa anazofanya ndizo zinazopendwa na wananchi. Siasa za kuikimbiza serikali(Watumishi wa serikali) na kupazia sauti matatizo ya wananchi. Wazee wengi wa CCM wanasiasa za zamani. Siasa za ulaghai laghai...
  4. Lycaon pictus

    Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  5. Lycaon pictus

    Tungepambana na magari ya umeme badala ya kuhangaika na kuweka mfumo wa gesi kwenye magari

    Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme. Badala ya...
  6. Lycaon pictus

    Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  7. Lycaon pictus

    Kwanini US wameipiga ban TikTok?

    US imepitisha sheria kuwa Tik Tok ijiuze kwa kiampuni za Marekani ndani ya mwaka mmoja au ifunge biashara US. Kwa nini bunge limepitisha sheria hii nzito?
  8. Lycaon pictus

    Wanaomsifia Rais Samia kwa kila kitu na kichekesho kilichoandikwa karibu miaka 80 iliyopita

    Kwanza kabisa Rais mwenyewe kwa matendo na maneno ameonyesha kuwa hataki habari za uchawa. Lakini machawa hawaishi kumsifu kwa hata vitu vya kuchekesha kabisa. Leo hii jambo la kumsifia Rais limekuwa kama dhihaka. Dhihaka kama hiyo iliandikwa karibu miaka 80 iliyopita. - Rais Samia awakana...
  9. Lycaon pictus

    Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini. Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni. Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa...
  10. Lycaon pictus

    Kupigwa na jua ni muhimu kuliko tunavyodhani

    Moja ya vitamin ngumu kabisa kupatikana kutoka kwenye vyakula ni Vitamin D. Mahitaji ya siku ya vitamin D kwa binadamu ni wastani wa 600IU(International Unit). Ni vyakula vichache sana vinaweza kukupatia kiasi hiki cha vitamin D kwa siku. Vitamin hii hupatikana kwa wingi kwa kupigwa na jua. Mtu...
  11. Lycaon pictus

    Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
  12. Lycaon pictus

    Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

    Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
  13. Lycaon pictus

    Kuna msanii mkali wa kupiga live kama Frida Amani?

    Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
  14. Lycaon pictus

    Sheria ya mpira wa kurushwa inabidi ibadilishwe

    Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia. Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia. Unakuwa kama wewe tena ndiye...
  15. Lycaon pictus

    Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu? https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
  16. Lycaon pictus

    Nyerere akieleza kwanini ujamaa ulifeli

    https://youtu.be/JGzC8AhERU8?si=Jen_Ou1-W6qGL51S
  17. Lycaon pictus

    Audiobooks za kiswahili. Safari ya Bulicheka na mkewe

    Safari ya Bulicheka na mkewe sehemu ya kwanza.
  18. Lycaon pictus

    Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
  19. Lycaon pictus

    Nchi ya Ujerumani imepangika vizuri sana(Kiuchumi)

    Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni...
  20. Lycaon pictus

    Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
Back
Top Bottom