Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

Ndio.....njoo mazoezini we mla chips nikutie bonge la buti uende mahakamani hakika nitafungwa kwa rafu mbaya.......hiki kizazi kina watoto wakike walio na jinsia ya kiume
 
Ndio.....njoo mazoezini we mla chips nikutie bonge la buti uende mahakamani hakika nitafungwa kwa rafu mbaya.......hiki kizazi kina watoto wakike walio na jinsia ya kiume
Mkuu ungerudi jukwaa la mahusiano ukaendelee na misemo ya ikiuma sema. Hapa tunajaribu kudadavua sheria za soka.
 
Ingekuwa hivyo mandonga angefunga wengi,zile ngumi no uhalifu tosha
 
Kwahio yule jamaa anaekumegea demu wako unataka ukamalizane nae kiwanjani ili usishitakiwe?
 
Back
Top Bottom