historia ya tanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  2. Lycaon pictus

    Historia ya Wahima na eneo la magharibi ya Tanganyika kama ilivyoandikwa ndani ya kitabu Zamani mpaka siku hizi

    Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana tulitoka nchi nyingine tukawasukuma watu waliokuwa wakikaa huku au labda tulichanganyika pamoja...
  3. Mohamed Said

    Athari ya majina ya mitaa katika historia ya Tanganyika

    ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini (Askari Monument) na kabla ya kufika Picha ya Bismini inapita pembeni ya Msikiti wa Ngazija na...
  4. Mohamed Said

    Makosa katika Historia ya Tanganyika

    Historia ya uhuru wa Tanganyika itachukua miaka mingi hadi itulie na watu waseme hakika hii sasa ndiyo historia yetu. Leo katika pita pita yangu nimekuta kitabu hicho hapo chini, ''The Media History of Tanzania,'' (1998) kikieleza historia ya magazeti toka enzi ya Wajerumani. Kitabu hiki...
  5. Mohamed Said

    Kama nilivyowaona katika utafiti wa historia ya Tanganyika

    KAMA NILIVYOWAONA KATIKA UTAFITI WA HISTORIA YA TANGANYIKA BARAZA LA MAWAZIRI WA TANGANYIKA 1963 Julius K. Nyerere, 41 years old, President Rashidi Mfaume Kawawa, 34 years old, Vice-President Sheikh Amri Karuta Abedi, 39 years old, Minister of Justice Derek Noel Maclean Bryceson, 40 years...
  6. S

    Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwamujibu wa John Silivalon katika kitabu chake anabainisha nguvu ya kanisa katika siasa ya Tanzania Nanukuu "Maamuzi yoyote ya mwelekeo wa dunia hutokea baada ya kukubaliwa ama kuratibiwa na Kanisa kupitia shirika la Jeisuti ambalo utendaji wake ni wa siri zaidi. Karne ya 17 kanisa lilikuja...
Back
Top Bottom