Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,369
12,970
Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.

1713630943743.png
 
Back
Top Bottom