Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole zaidi ya 10
NB
wapo ambao walizaliwa navyo zaidi ya 10 lakini...
Habari zenu wakuu ?
Kitambo sana sikuwepo jukwaani kutokana na sababu iliyokuwa nje ya uwezo wangu.
Hivyo wale washikaji zangu mliokuwa mkinitafuta au huwa na hofu juu ya kutoonekana kwangu niwaambie tu mimi ni mzima kabisa na sikupatwa na baya lolote.
Ahsanteni
John F Kennedy JFK anafahamika kama miongoni mwa marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi
Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumikia madaraka) kwa muda mchache zaidi
Kati yao hakuna aliyefikisha hata kawiki kaamoja akiyatumikia hayo madaraka...
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......
Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya...
Hapa Tanzania Hasheem Thabeet ni maarufu kutokana na urefu wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu
Pia kuna jamaa fulani mwaka juzi alikuwa gumzo baada ya urefu wake kumzidi kabisa Hashim kiasi cha kushindwa kupatiwa matibabu ya mifupa pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI}. Na ndiye anaaminika...
Kuna usemi kwamba afya ni uhai pia mtaji wa maskini ni nguv zake ikimaainisha afya njema huchangia mtu kuwa na maendeleo maana ukiwa na afya mgogoro basi utapoteza muda na pesa nyingi kujiuguza
Basi leo nawaletea magonjwa 10 hatari zaidi duniani kwa kupeleka watu wengi makaburini
NB:
Mimi siyo...
Umewahi kuombwa assist na msela fulani hivi aitwaye Rainyundo ? kama tayari kausha tu aisee ..........
Jamaa alikuwa na marafiki wengi humu JF Ila ujanjujanja umemponza na huo ndo umekuwa kama mwisho wa ID yake
Tapeli ni tapeli tu haijaishi iwe alidanganya,alikopa,alitoa tiba feki, n.k ...
Wakuu kama mnavyojua wahalifu ni sehemu ya jamii hata hapa jukwaani wamejaa tele
Sasa nataka kuelezea kwa ufupi tu matukio na wahalifu waliowahi kufanikisha wizi mkubwa kwa weledi uliotukuka pasipo kutumia nguvu kubwa
...
Kuna aina mbili za mapacha ambazo ni mapacha walioungana na mapacha wa kawaida
Pia unaweza kusema mapema wanaofanana na mapacha wasiofanana
Sasa mimi nalenga kuwazungumzia mapacha wa kawaida ambao waliweza kufanya mambo mazuri au mabaya na kujipatia umaarufu mkubwa duniani
Kwa Afrika nadhani...
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na jumla ya vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10 maarufu duniani waliozaliwa na vidole zaidi ya kumi miguuni au mikononi...
Umewahi kwenda ziwani kisha ukakutana na maji yakiwa na rangi ya pink kama vile yamemwagiwa rangi ya Sadolin?
Najua wengi kwenu ni jambo geni hata kwangu pia nilipoona picha kwa mara ya keanza nilifikiri ni photoshop na fix tu za mtandataoni
Yapo ambayo maji yake yana rangi ya kudumu huku...
Wapo watu wanaoamini hakuna ugonjwa uitwao Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) hawa wamejikita kinadharia zaidi
Wapo pia wanaodai ugonjwa huu unatibika ila Wazungu hawataki kutengeneza dawa ya kuutokomeza kabisa ili tu kupunguza kizazi cha Waafrika....hii nayo ni nadharia tu
Zamani mtu akiwa na...
Mwanamuziki Snura Mushi amewhi kutamba na wimbo wake maarufu wa Majanga kisha akapotea kimuziki hii ina maana kwamba msjanga huja tu ghafla na kuwatetemesha wanadamu kisha hupotea ila kamwe msjanga hayaishi
Pia waseahili husema Adui mwombee njaa kinachoendelea pale mitaa ya Twiga na Jangwani...
Mungu huwa hakosei kuumba ?
Mimi sijui na lengo langu siyo kumkosoa Mungu wala kumuhoji bali kuzungumzia kuhusu binadamu waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia
Kawaida mtu ana meno 32,miguu miwili,pua moja,mikono miwili,moyo mmoja n.k ila hawa watu viungo vyao vimepitiliza idadi...
Uchawi upo au haupo ?
Umeshawahi kurogwa ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo ?
Najibu kaa nayo tu moyoni mwako maana hayanihusu na sio kusudio langu la kuanzidha mada
Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina.....kama kweli watu wanajua kuroga basi wapige tunguli huu uzi maandishi...
Kwa nchi za Kiafrika suala la kujenga minara kama utambulisho wa jiji na kivutio cha utalii au kurushia matangazo ya redio na televisheni halipewi kipaumbele .
Pia inaonekana kama matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Dikteta Mobutu Sese Seko alwahi kuanzisha ujenzi wa mnara huko nchini...
Waswahili husema ulemavu mbaya ni wa akili wakiwa na maana kwamba ukiwa chizi/taahira hutoweza kufanya jambo lolote la maana maisjani japo viungo vyako vitakuwa vinafanya kazi
Sasa tuwaangalie walemavu wa macho walioweza kufanya mambo makubwa na kudhihirisha kwamba kuwa mlemavu sio mwisho wa...
Wakuu nafikiri mpo poa
Naona zimebaki siku chache tumalize mwaka
Dhumuni la uzi huu ni kutaka kuwashukuru wote walionipa sapoti hapa JF kuanzia January to December,kwangu huu ni mwaka super tofauti na 2015(mwaka niliojiunga)
Shukrani za pekee ziwaendee Jimena na Bailly5/Th Name ....hawa ndo...
Wakuu,
Mida mida wakati natoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua nipitie Jambo Garden ili nipate moja moto moja baridi.. Sasa kufika pale nikakuta kweupeee ndo kunajengwa fremu sehemu ya pembeni.. Hapa tulizoea kuburudika pamoja na kutazama mpira.
Ikumbukwe Jambo Garden ilikuwa ni sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.