Application NACTE wanaattach vyeti?

Wakuu tunaomba ufafanuzi nipo na dogo tunakamilisha application via NACTE CAS
Sasa swali ni kwamba tunaattach vyeti au hatuweki?
Sijaona hiyo option
Msaada please
1.Mimi najua mwenye Diploma in Education haweki vyeti,akiweka tu Reg number matokeo yanaonekana

2.Kwa programme zingine unatakiwa ku scan cheti(mwisho MB2).
Ukiona unaombwa kuweka cheti weka inaana hakionekani kwenye system.
 
Wakuu tunaomba ufafanuzi nipo na dogo tunakamilisha application via NACTE CAS
Sasa swali ni kwamba tunaattach vyeti au hatuweki?
Sijaona hiyo option
Msaada please
Endapo kama chuo ulichosoma na kozi husika havionekan kwenye system, kuna option hapo chini kama sikosei. Ukiibonyeza hiyo basi itakuoeleka katika sehemu ya kujaza chuo na kuattach vyet ila kama kila kitu kipo kwenye system badi huwa hakuna haja ya kuatach, na hii option ya kuatach inawatikea sana watu waliomaliza chuo mwaka huu ambao matikeo yao bafo hayajifika nacte au nacte hawajayaingiza kwenye system.
 
Mkuu hata vyuo tumeweka REG. NO zetu
Sijaona pa attachment wala kuambiwa attach
Kama hakuna maandishi ya rangi nyekundu ya update qualification basi tayari endelea na kipengele kinachofuata.
 
Mkuu hata vyuo tumeweka REG. NO zetu
Sijaona pa attachment wala kuambiwa attach
Ukiona required qualification found ujue tayari wameona matokeo kwenye system na hakuna haja ya cheti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom