Kuverify matokeo NACTE

Jun 28, 2019
5
0
Habari.

Nlikuwa naomba Msaada wa kufahamisha kuhusu ishu ya kupata AVN?

Pia nlikuwa naomba kufahamu Nacte huwa wanatumia muda gani ku confirm matokeo maana yangu yashakuwa submitted
 
Search Award verification Number Google. Kitakuja kiungo Kisha click hiko kiungo na ujaze taarifa zako ili upate AVN. kama matokeo yako yapo NACTE ni dakika tu unapata AVN
 
Back
Top Bottom