Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,539
Mwanamuziki Snura Mushi amewhi kutamba na wimbo wake maarufu wa Majanga kisha akapotea kimuziki hii ina maana kwamba msjanga huja tu ghafla na kuwatetemesha wanadamu kisha hupotea ila kamwe msjanga hayaishi
Pia waseahili husema Adui mwombee njaa kinachoendelea pale mitaa ya Twiga na Jangwani nafikiri kila mtu anakijua ......timu ya aananchi(Yanga) imekumbwa na njaa/ukata hivyo sasa ni kichdko kwa Wanamsimbazi maana sasa timu inafungwafungwa tu....Njaa mbaya !!!
Sasa tuangalie majanga kumi ya ssili yaliyowahi kuitikumba dunia na kusababisha mizoga ya watu kutapakaa kana takataka
.............................................. ............ . ...........
10/The March Of Sufferring/b]
Hii ni njaa ksli iliyomkumba bwana kiduku pale Korea ya Kaskazini
Ni njaa iliyoambatana na balaa pia la mafuriko.... ilitokea mwaka mwaka 19954 hadi 1998...yaani mafuriko yalisababisha njaa na mlipuko wa magonjwa
Majanga haya yalitokea kipindi ambacho viwanda nilikuwa vinadidimia kiuzalishaji na hivyo kusababisha kuyumba kiuchumi
Kuna baunsa anayeweza kuvumilia njaa ?
Hili janga lilikuwa ni kiboko kwani ni 20% tu ya sehemu za milimani ndio zilikuwa salama
Inakadiliwa watu milioni 3.5 walipoteza maisha achilia mbali mifugo na mali kibao(ila kumbuka wananchi wa huko hawaruhusiwi kumiliki magari)

Last edited: