Watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole vya ziada

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,539
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10 maarufu waliozaliwa na vidole zaidi ya 10

NB
wapo ambao walizaliwa navyo zaidi ya 10 lakini hawakujikubali na hivyo kuviondoa ila pia wapo matajiri ambao waliviacha tu km vilivyo

Karibuni
...........................................................................10/ Antonio Alfonseca
tapatalk_1584169487749.jpeg
tapatalk_1584169484431.jpeg

Ni mcheza cricket wa Philladephia Phillies...Amezaliwa akiwa na vidole 6 katika kila mkono wake
Jamaa pamoja na kuwa na mkwanja ameviacha tu kama vilivyo..wenzake hupendelea kumuita The Octopus
........
 
9/"Hound Dog" Taylor
tapatalk_1584170231712.jpeg
tapatalk_1584170235076.jpeg


Jina lake kamili ni Theodore Taylor..alizaliwa akiwa na vidole 6 mkono wa kushoto
Ni mwanamuziki na mpiga gitaa wa Kimarekani aliyetamba na wimbo wa Natural Boogie
Kibao kingine ni House Rockers
.....
 
8/Gemna Arterton
tapatalk_1584170419015.jpeg
tapatalk_1584170421703.jpeg


Huyu ana vidole 6 mikono yake yote miwili
Ni mcheza filamu aliyeshiriki filamu kadhaa mfano filamu ya James Bond iitwayo Quantum of Solace
Zingine ni Clash Of The Titans,Prince of Persia,Tamara Drewe na The Sands Of Time
......
 
7/Robert Chambers
tapatalk_1584170793335.jpeg
tapatalk_1584170796276.jpeg


Huyu alikuwa ni mwanajiolojia,mhariri wa habari na mwandishi wa vitabu kutoka Scotland
Alikuwa na vidole 6 katika kila mguu na mkono wake
Yaani alikuwa na vidole 24
.......
 
6/Danny Garcia
tapatalk_1584170996961.jpeg
tapatalk_1584171000350.jpeg


Huyu ni bondia wa Kimarekani mwenye asili ya Puerto Rico
Amewahi kushinda ubingwa wa WBC na WBA(Super}
Ana vidole 6 katika mguu wa kulia
...
 
5/Henry II The Pious
tapatalk_1584171178225.jpeg
tapatalk_1584171175774.jpeg

Umewahi kusikia hadithi ya mfalme mwenye pembe ?
Basi huyu nae itakuwa kijakazi wake alivujishasiri...

Huyu alikuwa Duke of Silesia pia High Duke of all Poland katika karne ya 13
Alikuwa na vidole 6 kwenye mguu wa kushoto
.....
 

Attachments

  • tapatalk_1584171175774.jpeg
    tapatalk_1584171175774.jpeg
    16.6 KB · Views: 4
4/Garfield Sobers
tapatalk_1584171639006.jpeg
tapatalk_1584171641553.jpeg


Huyu ni mcheza kriketi wa miaka ya 1990
Alizaliwa na vidole 6 katika kila mkono
Hakuvipenda hivyo akaviondoa ukubwani
.......
 
3/Halle Berry
tapatalk_1584171835428.jpeg
tapatalk_1584171838124.jpeg


Ni mmoja kati ya wanawake weusi warembo
Ila wengi hawajui kama ana vidole 6 katika mguu wake wa kushoto
Ni mcheza filamu wa Kimarekani
.....
 
2/Hrithik Roshan
tapatalk_1584171996173.jpeg
tapatalk_1584171998477.jpeg


Ni staa wa Bollywood huko India
Baadhi ya muvi zake NiMOI...Mui Gaya
Ana vidole 6 mkono wake wa kulia
.....
 
1/Opray Winfrey
tapatalk_1584172170327.jpeg
tapatalk_1584172172772.jpeg


Alizaliwa katika familia fukara ya Single mother lakini akakomaa na kuja kuwa bilionea na mwendesha vipindi maarufu
Alibakwa utotoni na pia alipoteza kichanga chake sijui wakati wa kujifungua ndo mtoto walifariki
Ana vidole 6 mguu wa kushoto
.
.
.
.

.
Cha kujifunza wengi wao hao ni matajiri na walikuwa na uwezo wa kuviondoa vidole vyao ila wakaamua kujikubali na maumbile yao hata walipopata umaarufu au kuchekwa

Mwisho
......
 
Back
Top Bottom