Watu kumi mashuhuri waliozaliwa na vidole vya ziada

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,539
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na jumla ya vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
Sasa tuangalie watu 10 maarufu duniani waliozaliwa na vidole zaidi ya kumi miguuni au mikononi
........................................................................
NB

wapo ambao walizaliwa navyo lakini hawakujikubali na hivyo kuviondoa ila pia wapo matajiri ambao waliviacha tu km vilivyo wakiamini ni baraka maishani
................................................. ......................

10/Maria SharapovaView attachment 820904.
IMG_20180728_105901.jpeg
IMG_20180728_105923.jpeg

Alizaliwa tarehe 9 April mwaka 1987
Huyuni mcheza tennis maarufu duniani
Amezaliwa akiwa na vidole sita kila miguu yaani jumla ana vidole 22 badsls ya 20
Inawezeksna vidole hivi vilimsaidia kucheza tennis kwa mafanikio
Licha yautajiri mkubwa alionao amevuacga tu vidole hivi bila kuviondoa kwa uoasuaji
 
Last edited:
9/Antonio Alfonseca
ddc0f6c9e6287d36fe3b214d5a03d03f.jpg
55c367effa04f058a70d8407c889a36f.jpg

Ni mcheza cricket wa maarufu wa Philladephia Phillies...
Amezaliwa akiwa na vidole sita katika kila mkono wake yaani mikono yake ina jumla ya vidole kumi na mbili
Jamaa pamoja na kuwa na mkwanja ameviacha tu kama vilivyo..wenzake hupendelea kumuita The Octopus vidole hivyo kwake ni baraka maana anavitumia vyema kudaka ns kurusha mpira
 
8/Gemna Arterton
IMG_20180728_112550.jpeg
IMG_20180728_112521.jpeg

ae6167895fa86f3e00737b663b735217.jpg

Mcheza filamu huyu ana vidole 6 mikono yake yote miwili
Ni mcheza filamu aliyeshiriki filamu kadhaa mfano filamu ya James Bond iitwayo Quantum of Solace
Zingine ni
Clash Of The Titans
Prince of Persia
Tamara Drewe
The Sands Of Time
 
7/Robert Chambers
8c71b168d502c1b0315cda9eeb37df3d.jpg
4114d76ad2ecc9bfa204f01120c33456.jpg

Alizaliwa mwaka 1802 na kufariki dunia mwaka 1871
Huyu alikuwa ni mwanajiolojia,mhariri wa habari na mwandishi wa vitabu kutoka Scotland
Ni miongoni mwa watu mashuhuri nchini Scotland wa mwanzoni mwa karne ya 19
Alikuwa na vidole 24 yaani katika kila mguu na mkono wake kulikuwa na vidole sita
 
Wadau inajulikana kwamba idadi ya vidole mkononi au miguuni ni 10 yaani kila mkono au mguu ni vidole vitano
Ila wapo wanaozaliwa na jumla ya vidole zaidi ya 10 miguuni au mikononi
View attachment 820902
Sasa tuangalie watu 10 maarufu duniani waliozaliwa na vidole zaidi ya kumi miguuni au mikononi
........................................................................
NB

wapo ambao walizaliwa navyo lakini hawakujikubali na hivyo kuviondoa ila pia wapo matajiri ambao waliviacha tu km vilivyo wakiamini ni baraka maishani
................................................. ......................

10/Maria SharapovaView attachment 820904. View attachment 820911View attachment 820912
Alizaliwa tarehe 9 April mwaka 1987
Huyuni mcheza tennis maarufu duniani
Amezaliwa akiwa na vidole sita kila miguu yaani jumla ana vidole 22 badsls ya 20
Inawezeksna vidole hivi vilimsaidia kucheza tennis kwa mafanikio
Licha yautajiri mkubwa alionao amevuacga tu vidole hivi bila kuviondoa kwa uoasuaji
Duuuh huyu vilivyokaa huwez jua mpaka uvihesabu maana havijaotea pembeni kama vingine
 
6/Danny Garcia
[
442b02a8caa1d13791616629aba5e881.jpg
0582d50d82e3adb37fc8ca178bace747.jpg

Huyu ni bondia matata wa Kimarekani mwenye asili ya Puerto Rico
Amewahi kutamba kwenye masumbwi na kushinda ubingwa wa WBC na WBA(Super}
Ana vidole 6 katika mguu wa kulia
 
5/Henry II The Pious
49efc19f1a583cf0d85a3a9c9e898c1b.jpg

IMG_20180728_120854.jpeg

Huyu alikuwa Duke of Silesia pia alikuwa ndiye High Duke of all Poland
katika karne ya 13

Unaikumbuka ile hadithi ya Mfalme mwenye pembe ambayo kijakazi alifichua siri kwa umma kwamba mfalme ana pembe kama ng'ombe na kuldta sintofahamu
Huyu naye nahisi habari hii kuna kijakazi waje kaivujisha
Alikuwa na vidole 6 kwenye mguu wa kushoto
 
4/Hrithik Roshan
967f9db654905014ce9ae5702684e419.jpg
IMG_20180728_122502.jpeg

a66d98c4f787d527154060d227011ce8.jpg

Ni staa wa Bollywood huko India mwenye umri wa miaka...anatajwa kama mmoja wa waigizaji wenye mvuto huko Bollywood
baadhi ya muvi zake ni MOI...Mui Gaya
Mcheza filamu huyu hujihusisha pia na muziki
Amezaliwa na vidole sita kwenye mkono mmoja na pamoja na kuwa mtu mwenye pesa ya kueleweka ameanua kukiachs tu kama kilivyo
 
3/Garfield Sobers
509c6b5fed631458c91955f21d7659c3.jpg
9356b23e0e56b4026d21d8a15c198e9c.jpg

Huyu ni mcheza kriketi wa miaka ya 1990
Alizaliwa na vidole 6 katika kila mkono na kumfanya kuwa na vidole 12
Hakuvipenda vidole hivi kutokana na kutaniwa sana utotoni hivyo alipopata mkwanja akaviondoa ukubwani
 
2/Halle Berry
tapatalk_1532608323761.jpeg
tapatalk_1532608321041.jpeg
tapatalk_1532609887428.jpeg

Anatajwa kana mimoja wa Mmarekani mweusi mwenye mvuto kimwili
Alizaliwa mnamo mwaka 1968
Akiwa na umri wa miaka 18 aliamua kujihusisha na mitindo na urembo na kufanikiwa kuwa mshindi wa taji la Miss USA 1998
Baada ya mafanikio hayo akapata dili kibao za kucheza filamu na kuzitendea haki na sasa hivi sna pesa za maana
Mguu waje mmoja una vidole 6
 
4/Hrithik Roshan
967f9db654905014ce9ae5702684e419.jpg
View attachment 820970
a66d98c4f787d527154060d227011ce8.jpg

Ni staa wa Bollywood huko India mwenye umri wa miaka...anatajwa kama mmoja wa waigizaji wenye mvuto huko Bollywood
baadhi ya muvi zake ni MOI...Mui Gaya
Mcheza filamu huyu hujihusisha pia na muziki
Amezaliwa na vidole sita kwenye mkono mmoja na pamoja na kuwa mtu mwenye pesa ya kueleweka ameanua kukiachs tu kama kilivyo
Huyu kwa Mara ya kwanza nilivyokua naangalia movie zake nilikua namuonaje sijui na hivyo vidole
 
1/Opray Winfrey
Screenshot_20180728-125529.jpg
IMG_20180728_125634.jpeg
tapatalk_1532771930078.jpeg

Ni Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 64
Alizaliwa katika familia fukara ya Single mother lakini akakomaa na kuja kuwa bilionea na mwendesha vipindi maarufu
Utotoni kapitia misukosuko mingi ikiwemo kupakwa na nduguye kisha kuoata ujauzito skiwa na umri mdogo na kujifungua mtoto ambaye alifariki dunia na hadi leo hajajaaliwa tena kuwa na mtoto

Ana vidole 6 mguu wa kushoto
........ ........................... ................ ....... ...
Cha kujifunza wengi wao hao ni matajiri na walikuwa na uwezo wa kuviondoa vidole vyao ila wakaamua kujikubali na maumbile yao hata walipopata umaarufu au kuchekwa
.
.
.
.
.Mwisho
The Bitoz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom