Hali tete! Jambo Garden Mabibo yafilisika

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,539
Wakuu,

Mida mida wakati natoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua nipitie Jambo Garden ili nipate moja moto moja baridi.. Sasa kufika pale nikakuta kweupeee ndo kunajengwa fremu sehemu ya pembeni.. Hapa tulizoea kuburudika pamoja na kutazama mpira.

Ikumbukwe Jambo Garden ilikuwa ni sehemu ya kujidai vijana wa Mabibo km kulivyo na Muleba bar, Chabruma/MCA, Mamnana Bar n.k

Shikamoo Sizonje
Namba zinasomeka.
 
Jamani watu wasipumzike hata kidogo ktk biashara zao?, inawezekana huyo bwana Kaokoka hivyo kaamua kufunga bar na kufungua Kanisa mahali pengine. Mpeni hongera sana!, na Mungu ambariki kwa hatua hiyo, tafadhali nyie watoa mada msiwe mna mawazo hasi wakati wote juu ya mambo yatokeayo hapa nchini!!!
 
Akili kumkichwa
 
probability =1/973735472636384825252
 
Jamani watu wasipumzike hata kidogo ktk biashara zao?, inawezekana huyo bwana Kaokoka hivyo kaamua kufunga bar na kufungua Kanisa mahali pengine. Mpeni hongera sana!, na Mungu ambariki kwa hatua hiyo, tafadhali nyie watoa mada msiwe mna mawazo hasi wakati wote juu ya mambo yatokeayo hapa nchini!!!
Kwahiyo hata wanaofunga frame zao K/koo wameamua kuokoka?
Wakati huu wa Juma Pembe Mbili ndo watu wanaokoka duh nilikuwa sijui
 
Wa kariakoo wanaamua kubadili mazingira ya biashara na sababu zingine mbalimbali ambazo ni za msingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom