bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,948
Wabongo wa uswazi hamuwezi kula bata mpaka mtoke kwenye pagala zenu za kupangisha....Aisee naifahamau hiyo bar ilikuwa hot sana wakati inaanza, naishi jirani kabisa na hiyo bar ila kwa sasa nipo mji wa Gesi kusini mwa TZ.Mwaka huu mwanzoni nilikuja likizo nilikuta pamepoa sana nikauliza wadau kulikoni wakaniambia imeuzwa, kama imefungwa its very sad kilikuwa kiwanja chetu cha kujidai vijana wa mabibo! Basi tutahamia Gonga Zote Pub pale karibu na stend ya mabibo mwisho.