Watu kumi warefu zaidi kuwahi kuwepo duniani

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,539
Hapa Tanzania Hasheem Thabeet ni maarufu kutokana na urefu wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu
IMG_20180815_104751.jpeg


Pia kuna jamaa fulani mwaka juzi alikuwa gumzo baada ya urefu wake kumzidi kabisa Hashim kiasi cha kushindwa kupatiwa matibabu ya mifupa pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI}. Na ndiye anaaminika pengine kuwa ndiye Mtanzania mrefu zaidi mpaka sasa.
IMG_20180815_104812.jpeg


Screenshot_20180810-111527.jpeg

Unamfahamu Manute Bol ?
Anatajwa kuwa ndiye mcheza mpira wa kikapu mrefu kwenye historia ya NBA
Jamaa alikuwa akitaka kufunga anajifungia tu kama kuweka hela kwenye mkono wa shati ila urefu wake ulikuja kumsababishia matatizo makubwa ya mifupa na huo ukawa mwisho wake wa kucheza kikapu.

Sasa leo nakuletea watu kumi warefu kuwahi kuishi duniani
"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Futi 1 = Inchi 12
Inchi 1= Sm 2.54
Futi 1 = Sm 30.48
==================

10/Brahim Takioullah
94f1d90c7d522c1858077630b37e7f05.jpg
e88cadd7a39add910412856812315511.jpg
525f135422ea1a41b6e82f3438b8920f.jpg

Ni raia wa Morocco aliyezaliwa mnamo mwaka 1982
Huyu jamaa anashikilia rekodi ya dunia kwenye Guinness Book of World Records ya mtu mwenye miguu mirefu zaidi duniani anayeishi
Pa ndiye mtu wa pili wa muda wote mwenye miguu mikubwa zaidi kuwahi kutokea duniani(nazungumzia makanyagio) miguu yake ina urefu wa inchi 15 yaani kiatu kinatakiwa kiwe hivyo kwahiyo jamaa ili apate kiatu lazima aweke order
Huyu jamaa sababu ya urefu wake ni uvimbe(tumor) ambao umeathiri tezi(gland) na kumfanya awe ngongoti

Ana urefu wa Futi 8 na inchi 1
 
9/Don Koehler
a36c05735f9cb0e5b788b44136c13463.jpg
akiwa na pacha wake
fdea1834d1e01c9c66d2b91d83db7d99.jpg
19398e38a19b8a3119189b33b6dc555a.jpg

Huyu bwana ni Mmarekani aliyezaliwa mnamo mwaka 1925 akiwa ni mapacha
Alikuwa na urefu wa kawaida tu hadi alipofikisha umri wa miaka 10 akaanza kurefuka
Alishikilia rekodi ya dunia kuanzia mwaka 1969 hadi pale alipofariki dunia mwaka 1981 akiwa na umri wa miaka 56 ...kifo chake kilisababishwa na kupigwa risasi kwa bahari mbaya

Alikuwa na pacha wake wa kike ambaye alikuwa na urefu wa kawaida tu wa futi 5 na inchi 9 na hivyo wanashikilia rekodi ya mapacha wenye tofauti kubwa ya urefu kwenye Guinness Book of World Records

Alikuwa na urefu wa Futi 8 na inchi 2
 
8/Vikas Uppal
317eca9981b50f4a74c973e1db46f6bd.jpg
ea0444ecded3560508b09b63fd39c7d7.jpg
4cda0bdb4c909e1dcc4f3ae55d758c11.jpg
Alizaliwa huko Haryana India na kuishi maisha mafupi maana alifariki mwaka 2007 akiwa na miaka 21 tu
Hakuwahi kupimwa urefu wake na watu wa kitabu cha GuinnessBook ila vyanzo mbalimbali nchini humo vilikuwa na rekodi zake
Alifariki dunia huku akiwa bado hajafukia kikomo cha kurefuka hivyo asingefariki mapema pengine angeweka rekodi ya kipekee duniani ya ngongoti wa muda wote

Alikuwa na urefu wa Futi 8 na inchi 3
 
8/Vikas Uppal
317eca9981b50f4a74c973e1db46f6bd.jpg
ea0444ecded3560508b09b63fd39c7d7.jpg
4cda0bdb4c909e1dcc4f3ae55d758c11.jpg
Alizaliwa huko Haryana India na kuishi maisha mafupi maana alifariki mwaka 2007 akiwa na miaka 21 tu
Hakuwahi kupimwa urefu wake na watu wa kitabu cha GuinnessBook ila vyanzo mbalimbali nchini humo vilikuwa na rekodi zake
Alifariki dunia huku akiwa bado hajafukia kikomo cha kurefuka hivyo asingefariki mapema pengine angeweka rekodi ya kipekee duniani ya ngongoti wa muda wote

Alikuwa na urefu wa Futi 8 na inchi 3
Noma
 
7/Bernard Coyne
da30f90aa085ed50418da7898e6019c9.jpg
d6ebe4f206f0c96a598064ddc6116510.jpg
bbec2e8adb9e9327723a036fc274b407.jpg
Alizaliwa huko Marekani mnamo mwaka 1897
Alikuwa akiumwa ugonjwa uitwao [iDaddy longlegs syndrome[/i]... urefu wake wakati anafariki haukufahamika
Hivyo rekodi zake zimechukuliwa kutoka kwenye World War I Registration Card maana alienda vitani

Alifariki wakati akiwa kwenye umri wa mwanzoni mwa miaka 20's
Alikuwa na urefuwaFuti 8 na inchi 2 japo inaaminika huenda Alikuwa na futi 8 na inchi 4 ila tatizo ni evidence tu
 
6/Sultan Kosen
79bba2ec0e64e635b1a1ea0ffb03b85e.jpg
5219d3a04b596d7546b7b1c9e67b5e70.jpg
Akiwa na mtu mfupi zaidi duniani
0719e3fdcc5c958fa64e84ac0f86f7e4.jpg

Huyu ni raia wa Uturuki aliyezaliwa mnamo mwaka 1982Ana uvimbe(tumor) ambao unamsababishia arefuke kuliko kawaida
Ndiye mtu mrefu zaidi aliye hai
Alikuwa na urefu wa kawaida hadi alipofikisha umri wa miaka 10

Mwaka 2006 madaktari walijaribu kuuondoa uvimbe ili asiendelee kurefuka lakini ikashindikana
Mwaka 2012 madaktari wa Virginia waligundua uvimbe kichwani umezidi kukua lakini kutokana na urefu wake wakashindwa kumfanyia upasuaji na hivyo kupelekwa Sweden ambalo ilitumika teknolojia ya hali ya juu na kufanikiwa na hivyo kuwa nwisho wa kurefuka kwake

Ana urefu wa futi 8 na inchi 3
 
Back
Top Bottom