Watu kumi warefu zaidi kuwahi kuwepo duniani

5/Edouard Beaupre
11ed65ada0cae5de53085682a0ebf6f6.jpg
87c080d868abe201312cc42d26e300c9.jpg
80a296c80a6c331d3797563747e378b9.jpg
Alikuwa ni Mkanada mwenye asili ya Ufaransa aliyezaliwa 1881
Utotoni alikuwa na ndoto ya kuwa cowboy lakini alipofikisha miaka 21 akaghairi baada ya kugundua amejaaliwa mabavu

Aliwahi kushiriki mieleka{wrestling) na kumshinda mtu aliyeaminika kuwa na nguvu zaidi duniani wajati huo aitwaye Louis Cyr
Alikuwa urefu wa futi 8 na inchi 3
 
4/Vaino Myllyrinne
1dc2121713115c3ab04510947ec74b9b.jpg
08c39eae16fcf6c9f8a8b344455e6b72.jpg
c5958e8886ec4fc30136e2fb433f1031.jpg

Afande Vaimo alizaliwa mnamo mwaka 1909 huko Finland na kufariki dunia 1963
Alikuwa ni mwanajeshi wa Jeshi la Finland na hadi leo inaamikikwa ndiye mwanajeshi mrefu zaidi kuwahi kuwepo duniani
Kwahiyo jamaa alikuwa akipiga gwabda anaonekana kama jiti fulani hivi la kutisha .....akipiga saluti ndio balaa kabisa

Alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 3.4
 
Duh mkuu sijawahi kumsikia
Ila nimegundua watu warefu wana matatizo zaidi ya kiafya na huishi maisha nafupi kuliko watu wafupi
Jamaa ana pacha wake mwanamke ambae ni kimo cha kawaida
Anaitwa Hussein Bisad
Amepata matatizo ya miguu,moyo na hata figo
Hawa abnormal huwa hawaisha maisha ya kawaida ni matatizo tu
Mungu ni mwema anatuonyesha maajabu yake
 
Nimejaribu kumfuatilia nimegundua ana urefu wa futi 7 na inchi 9 mkuu

Ila watu wafupi huwa na maisha marefu kuliko warefu wacheji hata akina Aki na Ukwa au Tausi Mdegele(japo bado vijana)
Ila kiujumla warefu hufa mapema
 
3/John F Carroll
1a9858974fe096ad13348f4e76fc399f.jpg
eb6b12d0765ac1e51c36bbe23ece6f94.jpg
d33060d128a5c66088afa5262bec0648.jpg
Alizaliwa jijini New York nchini Marekani mnamo mwaka 1932
Alianza kurefuka ghafla wakati akiwa na umri wa miaka 16 hadi pale mauti yalipomfika 1969 akiwa na miaka 37 tu kutokana na tatizo kwenye uti wa mgongo

Alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 7.5
 
Nimejaribu kumfuatilia nimegundua ana urefu wa futi 7 na inchi 9 mkuu

Ila watu wafupi huwa na maisha marefu kuliko warefu wacheji hata akina Aki na Ukwa au Tausi Mdegele(japo bado vijana)
Ila kiujumla warefu hufa mapema
Ukiwaona kwenye picha hushangai kama ukiwaona live kwa kweli jamaa wanatisha kwa umbo
Na wanakula haswa hahahaha
Sio wa kuwakaribisha home hawa
 
2/John William Rogan
5bf4fcd5cd9df866c076230f017ffe05.jpg
d1e22405ca9530c3748e0595c667490c.jpg
d4a50249ac2f6e678e2f19d7a8e08411.jpg
Alizaliwa mwaka mnamo 1868 huko Tennessee nchini Marekani na kufariki 1905
Ndiye mtu mrefu zaidi duniani "aliyerekodiwa" yaani vielelezo vyako vimejaa tele
Kutokana na urefu wake aliandamwa na maradhi kibao yakiwemo ya mifupa na husababisha kifo chake
Alianza kurefuka akiwa na umri wa miaka 13

Alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 9
 
Nimejaribu kumfuatilia nimegundua ana urefu wa futi 7 na inchi 9 mkuu

Ila watu wafupi huwa na maisha marefu kuliko warefu wacheji hata akina Aki na Ukwa au Tausi Mdegele(japo bado vijana)
Ila kiujumla warefu hufa mapema
Ungemuweka na yeye kwa sifa zake zote mkuu
 
1/Robert Wadlow
7aeedb0f3249c3cbd42a0386aa45a23a.jpg
c8b30100fd466cf1a65e2aa7d16dd942.jpg
706946744a623f9e74c367e519483482.jpg
Huyu ndo ngongoti wa muda wote duniani
Alizaliwa 1918 huko Illnois na kufariki dunia mwaka 1940 akiwa na miaka 22 tu
Urefu wake ulitokana na pituitary gland na hivyo kuzalisha kiasi kikubwa cha homoni na kurefuka maisha yaje yote
Alifariki dunia hospitalini Michigan wakati akifanyiwa upasuaji ambapo urefu wake ulichangia kufeli kwa blood transfusions

Alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 11

.
Nimegundua watu warefu sana wana msisha mafupi kliko watu wafupi sana

.
.
.
.
.
Mwisho
The Bitoz
................
 
Futi 8'11?
Hatari sana.
 
Ni kweli

Nilulenga kuzungumzia "mwili jumba'
Ni kweli. Shaq ana mwili, ukimuangalia akiwa peke yake ktk picha anaonekana wa kawaida sababu mwili umebalansi ila urefu wake itauona akisimama na mtu wa kimo cha kawaida.
Yao Ming mrefu ila angalau mwili hana kama shaq.
 
Back
Top Bottom