Nchi kumi vinara wa uchawi na ushirikina duniani

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,539
Uchawi upo au haupo ?
Umeshawahi kurogwa ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo ?
Najibu kaa nayo tu moyoni mwako maana hayanihusu na sio kusudio langu la kuanzidha mada

Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina.....kama kweli watu wanajua kuroga basi wapige tunguli huu uzi maandishi yawe ya rangi nyeupe au wabadili makaratasi yawe pesa ili tuondokane na hsli ngumu ya maisha
Tupo karne ya 21 ya sayabsi na teknolojia lakini kuna nzhi kibao bado zipo kwenye giza la ushirikina
................................................................

10/Saudi Arabia
787304e415edd1cd71dbd2af1e40638b.jpg
e4aa76024b1cfc262397e6b7b42fdbb8.jpg
ec12840cf9bbdc0ed093e3fdc6f253a4.jpg

Ulifikiri washirikina wapo barani Afrika pekee ? ..........Umepotea....
Waarabu wa Asia nao wamo kwenye fani hii ya kufanyizisna kwa kupigiana matunguli
Kutokana na kukithiri kwa uchawi wa watu kuwangianausiku matako wazi serikali ya Saudi Arabia ikaona isiwe tabu ikaanzisha kitengo Anti--witchcraft Unit maalum kusaka wachawi
Ukishikwa unajihusisha na uchawi adhabu yake ni kuchinjwa hadharani au kutupwa jela
Wachawi wakuu nchini Saudia ni wanawake
Naishia hapa tu maana nasikia kwao hata alnadir wanaifanya kishirikina ............Believe me or NOT
 
Hizo nchi nyingine mbona hujaziorodhesha sasa???
 
9/Tanzania
52688bacde5cb37154d1061f9a6e5e71.jpg
dfe5006d3462358957b858b3c787c494.jpg
9e2ddd1bc5332d4294844925d40b6de4.jpg

Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na idadi kubwa ya wanaJf kisa tu anaandika zaidi ushirikina na hivyo kuwateka watu
Pia sasa hivi kuna thread kumuhusu Bilionea wa Arusha na mkewe kuhusishwa na ushirikina nao unakimbia balaa .....huu ni ushahidi tosha Watanzania wanaanini kwenye ushirikina
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina na kuamini mifupa na mafuta yao yanaleta utajiri kumzidi ule wa Bill Gates
Dukani watu wanaweka vipande vya mkaa eti kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji na manabii feki wamejaa nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani na Mfalme Jiwe kapiga ramli hadharani na kusema CCM itatawala milele
 
Mstue Mkuu kiranga
 
Sioni maelezo ya kwanini hizo nchi ni vinara bali naona unaelezea mambo yenye kuhusu uchawi kwenye hizo nchi,maana hakuna sehemu ambayo hakuna imani za uchawi.
Huo ni mtazamo wako na upo sahihi
Uchawi upo dunia nzima ila nazungumzia nchi kumi ambazo watu wake wanaongoza kwa kujihusisha na ushirikina
 
8/Nepal
c56ee88c887516f63e6dd10ebd8d9f55.jpg
10962fc5aadaef745ae7a6a02fd9687b.jpg

875a2d6a6d9b00dff3c7f2e2d073bd79.jpg
]Hii ndo nchi pekee duniani ambayo bendera yake siyo ya mstatili yaani siyo pembe nne labda imewekwa kichawi tu
Waasia hawa nao ni balaa linapokuja suala la ushirikina...
Mfano mwaka 2012 ilivuma habari ya msukule wa kike na kutikisa dunia nzima yaani mwanamke aliyekufa na kuzikwa alipatikana akiwa msukule
Uchawi wao unavuma tangu karne ya 17
Wanepal usiku ni mwendo wa kuwangiana tu
......
 
7/India
f445af2d5fb9cd53b52b76631f30e795.jpg
ec1e4d0bd890089ab2fb5cf1696bf775.jpg
5bfac6241c57cb5c5290d5dce587e2a2.jpg

Wahindi wamejaaliwa mvuto wa sura lakini mioyo yao imejaa ushirikina achilia mbali tabia yao ya uchafu uliopitiza mazingira uliopitiliza
Mfano Oktoba 14 BBC iliripoti habari kuhusu binti mmoja kutoka Bemetara District kwamba alitolewa kafara ya mtoto wa kiume na ndugu zao wakiamini itamsaidia kupata ujauzito .....asiye na mwana bora abebe jiwe kuliko kwenda kwa sangoma
Asilimia kjbwa ya Wahindi wanaamini katika ushirikina
Sasa usijiulize kwanini hawa watu wanaabudu ng'ombe
 
Huo ni mtazamo wako na upo sahihi
Uchawi upo dunia nzima ila nazungumzia nchi kumi ambazo watu wake wanaongoza kwa kujihusisha na ushirikina
Ndiyo maana nikasema sioni maelezo ya kwanini hizo nchi ni vinara? Mfano hapo Saudia umeeleza tu kuwa serikali hukamata wanaojihusisha na uchawi na Tz umeeleza tu baadhi ya matukio ya kishirikina ambayo sioni ni vp yafanye Tz kuwa kinara.
 
6/Papua New Guinea
fd8f4f985cafe239f9c96a9e78394eb1.jpg
81f8b3748539b6b1837301c06203ee26.jpg
ec95c5ffe9082af7e7d6695d7e16fb05.jpg

Hawa waporipori nao kwa ushirikina ni shida
Jamaa wanarogana na kuamini vitendo vya kishirikina balaa balaa kiasi cha kuifanya serikali yao itunge sheria kali ili iwe onyo kwao lakini mchawi ni mchawi tu haachi
Mnamkumbuka Waziri wao aliyeenda Umoja wa Mataifa na kutimba mkutanoni akiwa kavaa kiporipori ?
Mfano katika Enga village wana wake wanne walikimbia kijiji chao baada ya kuanza kuwindwa kama swala kutokana na tuhuma za kuwawangia wanavijiji uchi usiku na mauzauza mengine kibao hivyo ikawa msala kwao
 
Ndiyo maana nikasema sioni maelezo ya kwanini hizo nchi ni vinara? Mfano hapo Saudia umeeleza tu kuwa serikali hukamata wanaojihusisha na uchawi na Tz umeeleza tu baadhi ya matukio ya kishirikina ambayo sioni ni vp yafanye Tz kuwa kinara.
Mkuu nilichokujibu si kinajitosheleza
Sasa unapotaka nieleze kwa undani zaidi si nitalazimika kukesha maana zipo kumi labda ningeandika kuhusu nchi moja tu ndio ungeweza kuelewa

Au kwavile nimeitaja nchi ya Kiislamu(Saudi Arabia) ndio imekuwa nongwa
 
Kichwa kingepaswa kuwa..
Matukio yaliyofanyika nchi 10 kuonesha kuna uchawi

Ila sio mbaya kaza buti miezi 2 bado una safari hapo the amazon college
 
  • Thanks
Reactions: Pep
5/Uganda
03e809ca1499f68fe853ea6770068b48.jpg
eb365a6e0619af03e22d4f64304b7db2.jpg
8491fa14092d713c447fffd49918e799.jpg

Mashabiki wa asimbwa timu yenu siku na miaka ya karibuni imekuwa anafanya vibaya sababu mmejaza washirikina(Waganda)
Asilimia kubwa ya Waganda wanaamini ushirikina
Huko nchini Uganda kuna kesi kibao zinazohusiana na ushirikina mfano mauaji ya vikongwe, mambo ya misukule na juzijuzi tumeona eti Ivan Semwaga akizikwa na maburungutu ya pesa kwa madai ya kutimiza kafara
 
4/Colombia
6d43e6bacb698553b32572d452777964.jpg
5b433b56670915dec07ff9d5795e2e8c.jpg
e0a960a5e79967a4d28fdccfd3bf0347.jpg

Wakati Wabrazil wanajulikana kwa kushika ukristo kiasi cha kumjengea sanamu Yesu Kristo ndugu zao wa Colombia kwa akina Radamel Falcao na James Rodriguezwao wamejikita katika kuabudu uchawi na ushirikina zaidi
Moja kati ya tukio maarufu ni la k kituo cha FOX kiliripoti mwaka 2012 kuhusu mwanamke wa Kicolombia kuuawa kwasababu za kishirikina ...watu walimchoka maana Alikuwa akiwatokea wanakijiji usiku wa manane kichawiHivyo ili kuepuka mauzauza wakansaka na kummaliza
 
Back
Top Bottom