Bitoz is back !!!!

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,539
Habari zenu wakuu ?
Kitambo sana sikuwepo jukwaani kutokana na sababu iliyokuwa nje ya uwezo wangu.
Hivyo wale washikaji zangu mliokuwa mkinitafuta au huwa na hofu juu ya kutoonekana kwangu niwaambie tu mimi ni mzima kabisa na sikupatwa na baya lolote.

Ahsanteni
 
Sema tu ulinyang'anywa simu na dada
 
Mkuu hapa watu wanamtaka nyani ngabu si wewe, ila karibu sana
Kwani ngabu kafanyaje
Sijasema popote watu wananitaka, nimewapa taarifa wadau maana wapo waliokuwa wakinitafuta Pm
Ila ahsante mkuu
 
Habari zenu wakuu ?
Kitambo sana sikuwepo jukwaani kutokana na sababu iliyokuwa nje ya uwezo wangu.
Hivyo wale washikaji zangu mliokuwa mkinitafuta au huwa na hofu juu ya kutoonekana kwangu niwaambie tu mimi ni mzima kabisa na sikupatwa na baya lolote.

Ahsanteni
Ole anakusalimia
 
Back
Top Bottom