uwekezaji

  1. Roving Journalist

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinara Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amepokea Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika iliyokwenda Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Mei 8, Abu Dhabi. Akizungumza na Vyombo...
  2. N

    SoC04 Uwekezaji katika nyumba janja za wageni

    Utangulizi Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu wawasilipo nchini. Nyumba hizi za wageni zimekuwa zikijengwa zaidi katika Majiji ya Dar es Salaam...
  3. Roving Journalist

    Katavi: Kiwanda cha Maziwa chafungwa baada ya uhaba wa mali ghafi ya maziwa

    Licha ya Serikali kuhamasisha uanzishwaji wa viwanda nchini lakini bado upatikanaji wa mali ghafi za kuendesha baadhi ya viwanda ni changamoto. Kiwanda cha maziwa cha MMS kilichopo Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi kimefungwa na mmiliki wa kiwanda hicho. Kiwanda hicho kilichozinduliwa...
  4. Roving Journalist

    Arusha: Prof. Kitila na Angela Kairuki kuongoza Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Utalii na Ukarimu

    Kufuatia agizo la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Aprili 4, 2024 akiwaapisha viongozi mbalimbali alitoa maelekezo mahususi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuhusu kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii kwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa...
  5. OlaryMoleli

    Sera za Kitaifa za uwekezaji zimepitwa na wakati

    Kwa kutazama kwangu SERA za uwekezaji zimepitwa na wakati kwa sababu uhai wake hauonekani katika jamii ya Watanzania HASA wazawa. Aidha wananchi hawana uelewa wowote kuhusu Mambo ya uwekezaji kwani haziko CLEAR kwa wananchi ama haziendani na uhalisia wa TAIFA
  6. Aliko Musa

    Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Manispaa Ya Moshi

    Ada za kuomba kibali cha ujenzi katika Manispaa ya Moshi. (i) Maombi mapya ya kibali cha ujenzi cha;- ✓ Makazi ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Makazi na biashara ni Tshs.500 kwa m². ✓ Viwanda ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Taasisi ni Tshs.300 kwa mita mraba moja. ✓ Vituo vya mafuta...
  7. Adam shaha

    Njia Bora za Kusimamia Akiba na Uwekezaji

    Kuwekeza kwa mustakabali ni hatua muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na uhakika wa maisha. Kwa kuwa na mbinu sahihi za kusimamia akiba na uwekezaji, mtu anaweza kufikia malengo ya kifedha na kujenga mustakabali wenye uhakika. Hapa tunajadili njia bora za kusimamia akiba na uwekezaji ili...
  8. Aliko Musa

    Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
  9. W

    Uwekezaji Bandari ya Bagamoyo wapewe wazawa/Private sector

    Decemba mwaka 2015 nilikuwa miongoni mwa waandishi takribani saba kutoka vyombo mbalimbali nchini tulikwenda kutembelea baadhi ya sehemu za kibiashara katika Jimbo la Guangzhou Nchini China. Tulikwenda kwa hisani ya Ubalozi wa China nchini Tanzania. Ziara yetu ilituchukua siku kumi tukiwa...
  10. Aliko Musa

    Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Halmashauri Ya Manispaa Ya Mtwara

    Halmashauri ya manispaa ya Mtwara imetenga maeneo mengi kwa ajili ujenzi wa viwanda, hospitali za kisasa, vituo vya michezo, hoteli za nyota tatu, n.k. Maeneo hayo ni kama ifuatavyo: (a) Ujenzi wa kiwanda cha kusindika nazi na kiwanda cha kuongeza thamani ya zao la korosho. Mamia ya Mtwara...
  11. kirengased

    Ninayo maswali kuhusu mazingira ya uwekezaji nchini

    Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo; Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake? Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
  12. TaiPei

    Kafulila: Utulivu wa kisiasa wa Rais Samia umekuza Uwekezaji mauzo ya nje yameongezeka kutoka $8.8bl mpaka $13.9bl sawa na TZS 35Trilion

    Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi ambayo watu wana-tension, Watu wanatafutana haiwezi kupata wawekezaji serious na haya ni matokeo ya...
  13. Roving Journalist

    TRC: Suala la Nauli za Treni ya SGR tumekabidhi mapendekezo kwa LATRA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara ya kukagua Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kujionea majaribio ya treni hiyo ambayo yalianza hivi karibuni. Ziara hiyo imeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vuma Augustine (Mbunge wa Kasuru vijijini), ambapo...
  14. D

    Taarifa zinachanganya ubinafsishaji wa mabasi ya mwendokasi; kipi ni kipi?

    Hizi taarifa zinachanganya! Tarehe 23 march niliangalia taarifa ya habari, Taarifa zinasema Serikali ina mpango wa kutafta mwekezaji ambaye ataleta mabasi na kutoa huduma kama mzabuni. Tarehe 25 march katika taarifa ya habari wanasema mzabuni tayali kashaanza kuigiza mabasi! Swali tenda...
  15. Mhafidhina07

    Ukubwa wa Mechi ya Yanga na Mamelodi ni matokeo ya kiwango bora cha Yanga msimu uliopita na uwekezaji wa Mamelodi

    Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu...
  16. Stephano Mgendanyi

    Hifadhi ya Taifa ya Saadani Yatakiwa Kuwa na Mpango Mahususi wa maeneo ya Uwekezaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi wa kuainisha maeneo ya uwekezaji ili kuvutia wawekezaji. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe.Timotheo Mnzava ameyasema hayo...
  17. Suley2019

    Mzee Kikwete: Rais Samia ametuliza nchi na kuvutia Uwekezaji

    Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao umefanikisha kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali. Mzee kikwete anasema: Hata wafanyabiashara...
  18. Roving Journalist

    Tanzania na Pakistan kushirikiana Sekta za Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvastory Mbilinyi...
  19. Quraish Hussein

    Maoni kuhusu uwekezaji katika Kampuni ya uzoaji takataka

    Ndugu Zangu Habarini Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk. Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
  20. P

    Kuagwa kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Machi 1, 2024

    Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
Back
Top Bottom