mradi

  1. arcoiris

    Mradi wa NHC wa Safari City Arusha umetelekezwa?

    Vipi kuhusu mradi wa NHC wa safaricity arusha umetelekezwa? Anayejua muendelezo tafadhali atuhabarishe
  2. peno hasegawa

    Huu mradi mwenye mawazo ya kuupongeza tukutane hapa.

    Sikiliza ,na tukutane tuujadili
  3. instagramer

    Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  4. Pfizer

    Nyakahamba- Kerege wakamilishiwa mradi, dawasa yawaita wakazi maunganisho ya maji

    Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo na kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa wakazi takribani 250. Akizungumzia utekelezaji wa mradi...
  5. Roving Journalist

    Wizara ya Afya yafafanua juu ya gharama za Mradi wa Hospitali za Rufaa Mawenzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji juu ya Mradi wa Serikali kupewa fedha nyingi kuliko bajeti iliyopangwa na kuripotiwa kutokamilika, ufafanuzi umetolewa Mdau alitoa mfano kwa kupitia Bajeti ya Wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni Mei 14, 2024 ambapo Mradi wa Uimarishaji ya Hospitali...
  6. Analogia Malenga

    Inakuwaje mradi unapewa hela zaidi ya walizoomba na haukamiliki?

    Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi huu ulihitaji Sh bilioni 7 na ukapokea bilioni 12 lakini bado haujakamilika, upo 86%. Yaani kuna...
  7. K

    Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo? === Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
  8. Pfizer

    RE/MAX Coastal, Coral Property zazindua mradi wa nyumba za gharama nafuu jijini Dar

    Katika mpango unaolenga kuunga mkono juhudi serikali za kuhakikisha kunakuweko na nyumba za makazi bei, kampuni ya ya RE/MAX na ile ya Coral Property zimezindua mradi wa nyumba mpya za bei nafuu wa Sky Royal, mtaa wa Morocco Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi. Nyumba na Maendeleo ya...
  9. Lancashire

    Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  10. Pfizer

    DAWASA bado wanasubiri wakabidhiwe Mradi wa Maji Kiluvya NSSF

    Mradi wa Maji Kiluvya NSSF Eneo la Kiluvya NSSF kwa sasa kuna mradi unaoendelea kutekelezwa na Shirika la hifadhi ya Mifuko ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya wateja ambao waliuziwa viwanja katika eneo hilo. Mradi huo umehusisha ulazaji wa bomba kubwa la inch 8 kutoka kwenye bomba kubwa la inchi 30...
  11. Mfugaji123

    Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
  12. Lady Whistledown

    Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani nikitaka vikwazo viweke kwenye mradi wa makombora wa Iran" Pia ametoa wito wa Jeshi la Walinzi wa...
  13. jingalao

    Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma. Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
  14. Jidu La Mabambasi

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake. Aliyeufisadi hajulikani. Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania. Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu. Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
  15. dist111

    Kama Mwendokasi Ungekuwa wangu, Hivi ndivo ningeuendesja mradi huo.

    Tahadhari: Mawazo haya yanatikana na Imani yangubkubwa katika: 1. Biashara shindani, Yaani bila ushindani, biashara lazima itadorora. 2. Jamii imegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano wafanyabiashara, wafanyakazi, n.k. Nikimaanisha mfanyakazi hataweza kurndesha biashara na kinyume chake...
  16. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  17. Lady Whistledown

    Hadi sasa Mradi wa SGR umegharimu Tsh. Trilioni 10.69

    Serikali ya Tanzania hadi sasa imetumia jumla ya Shilingi Trilioni 10.69 kwenye Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kama sehemu ya miradi mikubwa ya nchi. Akitoa ombi kwa Bunge kuunga mkono jumla ya Shilingi Bilioni 532.8 kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha wa 2024/25...
  18. Miss Zomboko

    Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam

    Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National...
  19. Roving Journalist

    TRC: Suala la Nauli za Treni ya SGR tumekabidhi mapendekezo kwa LATRA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara ya kukagua Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kujionea majaribio ya treni hiyo ambayo yalianza hivi karibuni. Ziara hiyo imeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vuma Augustine (Mbunge wa Kasuru vijijini), ambapo...
  20. Roving Journalist

    Mkurugenzi TRC: Tutaruhusu Wawekezaji binafsi kwenye Mradi wa SGR kuingiza Vichwa cya Treni na mabehewa yao

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
Back
Top Bottom