Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

instagramer

Senior Member
May 7, 2024
175
380
Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile.

Mi naanza na huyu..
Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja alikua ni mafia Sana mwenye hela za kutosha kutokana na kumiliki boti kadhaa za uvuvi, alijulikana kwa jina la Ngollo Mahela. Machalii walikua wanampenda Sana kutokana na ushawishi Mkubwa aliokua nao.

Siku moja akayatimba, akatongoza Dem wa mwamba mmoja aliyehamishiwa kikazi toka Arusha. Kwa umaarufu wa Ngollo hiyo ishu ililiki, sababu jamaa alianza kujitamba kwa wapambe wake kwamba lazima apite na Ile manzi. Mwamba mwenye mali akasikia akamuhoji manzi wake, Manzi akakubali. Mshkaji akampanga manzi wake jinsi ya kupiga hela za jamaa.... So siku ya siku Ngollo yupo na Manzi Gesti ya kawaida Sana Ili asijulikane, Ile dushee lizame tu mlango ukavunjwa, baunsa nne hizo hapo na mwenye mali... Mshkaji mshiko ulimtoka alimpa jamaa kama m3 alizokua nazo na cheni ya gold gram 100.. Jamaa akasepa na Dem wake.. wakabaki wale mabaunsa na Mshkaji. Kilichotokea hapo hatujui mpaka leo, tunachojua Mshkaji ni mwaka wa saba haonekani Mtaani, zaidi ilibandikwa picha yake Moja tu kipindi hicho pale Nyakato Sokoni kwenye nguzo ya umeme, akiwa kazungukwa na mabaunsa chumbani walioficha sura zao huku amevaaa boxer tu...

...tuwe Makini na manzi wa watu.
 
Mke wa mtu sumu!
 
Back
Top Bottom