Sina haja ya kuandika mengi.
Tazama video mwenyewe.
Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia.
Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi...
Ni wazi muafrika ndio binadamu ambae uwezo wake wa kutumia maarifa na hoja ni mdogo sana kiasi kwamba Huwa anatumia Nguvu kama wanyama.
Namba 2 hapo ni Waarabu.Ukiona Wazungu wanaandamana basi...
Magufuri alipokuwa anawanyima ajira vijana..Kuna wapuuzi walikuwa wakishangilia wakiwacheka wasomi wanavyohaha Na mji Sasa vijana wameamua kutumia taaluma Zako kutafuta riziki Zao....
Diwani wa Kata ya Olorien, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha (Arusha DC), Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha, Mhe. Henry Nantire Sikoi, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati...
Wafugaji tunashauriwa unapotaka kupata mbegu nzuri ni lazima uchanganye wanyama toka sehemu mbili tofauti
kama ukimchukua dume Shamba A basi jike mchukue Shamba B ikiwezekana watoke mikoa...
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,
Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.
Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.
Kama ni...
Moja kwa Moja kwenye mada .Wote bila shaka tumeona kwa namna gani technolojia ya Dunia inavyoenda haraka . Kama utakuwa umepita pita mitandaoni basi bila shaka umeisikia habari Inayo vuma kwa...
Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo...
Baada ya kukaa kikao kizito na ubongo wangu tukishauriana baadhi ya mambo hatimae tumefikia conclusion hio.
Najua ni ngumu kuacha pombe ila nimeamua sitatumia pombe ya aina yoyote ile from now...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.