mradi wa sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Hadi sasa Mradi wa SGR umegharimu Tsh. Trilioni 10.69

    Serikali ya Tanzania hadi sasa imetumia jumla ya Shilingi Trilioni 10.69 kwenye Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kama sehemu ya miradi mikubwa ya nchi. Akitoa ombi kwa Bunge kuunga mkono jumla ya Shilingi Bilioni 532.8 kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha wa 2024/25...
  2. Roving Journalist

    TRC: Suala la Nauli za Treni ya SGR tumekabidhi mapendekezo kwa LATRA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara ya kukagua Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kujionea majaribio ya treni hiyo ambayo yalianza hivi karibuni. Ziara hiyo imeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vuma Augustine (Mbunge wa Kasuru vijijini), ambapo...
  3. Roving Journalist

    Mkurugenzi TRC: Tutaruhusu Wawekezaji binafsi kwenye Mradi wa SGR kuingiza Vichwa cya Treni na mabehewa yao

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
  4. RUSTEM PASHA

    Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

    Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao. Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
  5. N

    Mkandarasi Mkuu wa SGR ametusitisha kazi lakini hataki kutulipa stahiki zetu, 'tunachohitaji sasa haki itendeke'

    Kama ilivyo kawaida dhuruma na uonevu unaendelea kufanywa na Makandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi dhidi ya Wafanyakazi wa Mradi. Leo tarehe 25 mwezi wa 11 baadhi wetu sisi Wafanyakazi tumeanza kuchoshwa na ubabaishaji wa Mkandarasi unaoendelea. Hapo kuna Makundi mawili ya watu...
  6. Nkerejiwa

    Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
  7. mirindimo

    Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua

    Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro. 1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua. 2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali. 3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi. 4... Tuendelee kuliat...
  8. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
  9. J

    Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

    Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR "Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe...
  10. pantheraleo

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  12. BigTall

    DOKEZO Mradi wa SGR wa Itigi - Tura tunapigwa, wafanyakazi pia hawalipwi maslahi yao inavyotakiwa

    Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi Kubwa zaidi na linaloumiza zaidi ukweli tunapigwa sana SGR hakuna ubora wowote Kwa ufupi SGR inalipuliwa na ubora...
  13. Tz boy 4tino

    Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  14. Analogia Malenga

    Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  15. Stephano Mgendanyi

    Faida za mradi wa SGR ukikamilika

    FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA 1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia mafuta diesel ambayo ni lazima kuagiza ingeongeza gharama kubwa kwa uendeshaji na matumizi ya akiba ya...
  16. kimsboy

    SGR Dar - Moro imeishia wapi? Au ilikua Sinema ya Kihindi?

    Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021 Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa Mara mradi umefikia asilimia 98 Haya sinema la...
  17. mshale21

    Meneja Mradi SGR: Treni ya umeme haitatumia umeme huu unaokatika mara kwa mara, inajengewa mtandao wa umeme unaojitegemea

    Meneja Mradi wa Treni ya SGR Mhandisi Machibya Masanja, amesema kuwa Treni ya umeme itakapoanza haitatumia umeme huu wa kawaida unaokatika mara kwa mara, bali inajengewa mtandao wa umeme unaojitegemea. Kauli hiyo ameitoa hii leo Novemba 30, 2021, wakati wa mahojiano maalum na East Africa TV, na...
  18. William Mshumbusi

    Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

    Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
  19. Tanzania Railways Corp

    Mkurugenzi Mkuu TRC akutana na Balozi wa Rwanda kujadili mradi wa SGR Isaka - Kigali

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Charles Karamba na kujadili kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Isaka – Kigali, mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mkuu TRC...
Back
Top Bottom