misungwi

Misungwi or Missungwi or Isungwi is a town in Misungwi District, Mwanza Region, Tanzania. According to the 2012 census, the population of Misungwi town is 30,728. It is the biggest town on the trunk road from Mwanza to Shinyanga.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mnyeti aiomba Serikali kupeleka Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi

    Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Mhe. Alexander Mnyeti ameiomba Serikali kupeleka vifaa tiba katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya. Akitoa salaam kwa niaba ya wapiga kura wake leo Juni 14, 2023, wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukagua...
  2. Lady Whistledown

    Misungwi: Kanisa linaloendesha ibada tata labainika, takriban wagonjwa 200 wamekutwa wakihudumiwa katika mazingira duni

    Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
  3. USSR

    Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

    Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu. Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za migodini huko kanda ya ziwa. Nilizunguka Geita, Kahama, Tarime, na sehemu mbalimbali zenye uchimbaji wa...
  5. Brightly

    House4Sale Nyumba inauzwa million 25 misungwi mwanza

    Habarii Wana jf,Nyumba ya room tatu moja Master room,sebule kubwa, public toilet,store pamoja na jiko,ina uwanja wa 15mx30m ipo misungwi mkoa wa mwanza mawasiliano +255 769 088 152.
  6. Brightly

    INAUZWA Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi

    Nyumba inauzwa ipo Mwanza wilaya ya Misungwi, ina vyumba vitatu kimoja master, sebule kubwa, dinning room pamoja na jiko, inauzwa kuanzia million 25. Uwanja umepimwaa na haina mgogoro wowote, karibuni sana.mawasilano +255 769 088 152
  7. Analogia Malenga

    Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
  8. The lost

    Viongozi wa Wilaya ya Misungwi ni wa ovyo, takribani miezi miwili sasa hawajawaonesha machinga wa Usagara maeneo ya biashara

    Rais sema nao hao, wamevuruga biashara za watu zaidi ya mia mbili wa mji mdogo (kijiji kilichochangamka) wa Usagara na hawajawapa maeneo mbadala ya kufanyia biashara licha ya eneo kuwepo. Takiribani miezi miwili Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri wanaleta danadana tu na...
  9. D

    Ninanauza Mafuta ya Alizeti

    Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
Back
Top Bottom