nyumba

  1. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Msufini

    Ina Vyumba vitatu kimoja ni self Dinning, Sitting, Kitchen &Public Toilet Umiliki: Hati Miliki ya wizara(Title Deed). Ukubwa Wa Eneo: SQM 534 Nyumba Iko Mtaa Mzuri Sana Kutoka lami unatembea Maji ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo. Nyumba inahitaji kufanyiwa finishing za decoration ila unaweza...
  2. R

    Kwanini JK asiuze nyumba aliyojengewa na serikali akajenge chuo, shule au hospitali kule Chalinze?

    JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu? Naona hali hiyo pia ipo kwa...
  3. K

    Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  4. PRO 90

    " A Frame house" Nyumba zenye umbo A

    Hello wajuzi. Ktk tafiti zangu, nimekuwa ninawaza kujenga Get away houses, Airbnb, na ki sehemu kwa ajili ya watu wanaotaka kuishi ktk mazingira ya nature, around sehemu fulani hivi Pwani. Mwanzo nilikuwa nataka kujenga kama zile za Safari bandaz, Morden Mud houses, ila katk mizunguko yangu...
  5. Kiboko ya Jiwe

    Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  6. Erythrocyte

    Sauli Amon (S.H.AMON) abambwa kwa Utapeli wa nyumba Kariakoo

    Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za...
  7. Mkalukungone mwamba

    Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

    Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
  8. E

    Wawekezaji wanapopewa leseni ya udalali: Be-Forward sasa yavamia soko la nyumba

    Naangaza angaza magari ya Be-Forward nakuta wanantangazia nyumba za kupanga na kununua... Hili ni kampuni la Kijapani, hela zao zinaenda Japan, hata mtandao wao ni real-estate-tanzania.beforward.jp..... Hiyo "dot JP" inasema ni mtandano wa Kijapan! Tunahitaji kutoa vibali kwa wawekezaji...
  9. ndege JOHN

    Mnaonaje hela ya kuzoa takataka ikatwe juu kwa juu kama ile ya kodi ya nyumba katika luku?

    Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili. So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
  10. C

    House4Sale Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula, Dar es Salaam

    Habari Wana JF, Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba vitano, Stoo, na choo chake. Bei ni milioni tisini (90,000,000) Whatsapp 0622905303 Au nipigie...
  11. plumbing bc

    Wayaringi ya maji ndo mwonekano wa baadae kwenye nyumba, hotel nk

    Mpangilio wa vitu vyandani ndo mwonekano wa wayaringi iliyo fungungwa katika nyumba yako.kuna wateja wanapenda kubadirika kutokana na wameona nini Kwa rafiki yake wakati wayaringi yake hairuhusu kuonekana mwonekano anayetaka yeye pia napenda kuwashauri waweze kuchagua kitu kimja ambacho anaweza...
  12. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  13. Sangatitti

    Umejifunza nini kuhusu hizi nyumba mbili kati ya Malisa na Tulia?

    Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa . Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
  14. Eli Cohen

    Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

    Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
  15. L

    Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume, kazi ya kugusa maisha ya watu, kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza...
  16. A

    KERO Nyumba ya Ibada iliyo karibu na Kituo cha Afya ZAMZAM katika Manispaa ya Bukoba ni KERO kwa wagonjwa

    Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa wagonjwa. Mamlaka zinapaswa kuingilia kati hali sio nzuri kwani usumbufu ni mwingi sana kwa wagonjwa...
  17. kikoozi

    Msaada wa kubadili umiliki wa umeme na maji unaponunua nyumba

    Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
  18. C

    Hai, Kilimanjaro: Mama na watoto wake walia kwa uchungu baada ya nyumba yake kubomolewa na serikali

    Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
  19. B

    House4Rent Nyumba inapangishwa Mbweni JKT

    Nyumba inapangishwa mbweni jkt …laki nane kwa mwez. Kwa atakaehitaji anichek pm
  20. Mgosi Mbena

    Tubadilishane gari na Nyumba? Nipo Mwanza

    Wakuu, Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu. Gari nalotaka lenye thamani ya milion 8. Lisiwe bovu. Mahali mwanza Jiji
Back
Top Bottom