watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Kina baba tubadilike tupunguze ukoloni lasivyo kina mama wataendelea kuzoa points kwa watoto, uzeeni watamjali mama huku wewe uliyepambana unatengwa

    naongea kwa experience naiona kwenye familia nyingi, Watoto wakienda kusalimia wazazi mama akiwa peke yake mzee kasafiri wanaweza kukaa hata siku nzima, baba akiwepo watoto watakaa nusu saa tu washapotea, Mama ndie anapewa hela za misaada watoto wanamwambia ampe mzee kiasi anachoona kitamfaa...
  2. B

    Hongereni sana wakina mama wote kwa upendo mlionao kwa watoto wenu.

    Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe. Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

    Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi? Je, wanakuwa wanapigana? Je, wamekimbia na kuacha familia yao? Je, wanawatumia...
  4. C

    Hai, Kilimanjaro: Mama na watoto wake walia kwa uchungu baada ya nyumba yake kubomolewa na serikali

    Eneo ni Sanya chini, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya serikali kuagiza nyumba hizo kubomolewa. Malisa
  5. Stephano Mgendanyi

    Tauhida Cassian Gallos ahoji Bungeni mkakati wa Serikali kudhibiti matukio unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na watoto

    MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto "Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
  6. HONEST HATIBU

    SoC04 Watoto Wapewe Elimu ya Ujuzi na Sio Elimu ya Makaratasi tu

    "TANZANIA TUITAKAYO": Mfumo wa Elimu wenye Mwelekeo wa Ujuzi kwa Vizazi Vijavyo Katika dunia inayobadilika kwa kasi, elimu imekuwa kiini cha maendeleo na ustawi. "TANZANIA TUITAKAYO" inatoa maono ya kubuni mfumo wa elimu ambao unawapa wanafunzi ujuzi muhimu na ujuzi wa vitendo, na kuwawezesha...
  7. Mamyly

    SoC04 Maboresho ya RCH 1 card, kuimarisha afya za watoto na kukomesha ongezeko la watu wafupi Tanzania

    Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study Utangulizi: Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto wafupi limekuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Watoto wafupi wanaweza kukumbwa na matatizo ya...
  8. EDIGAR IC

    Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

    Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha . Mfano ★Anaenda hana nguo za kumtosha ★Hana simu janja wala PC ★Anaenda hana fedha ya hakiba . Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  10. N

    SoC04 Harakati ya Kuwawezesha Watoto na Familia za Mitaani

    Utangulizi Wapo watoto wa mitaani lakini pia zipo familia za mitaani. Hizi ni familia zilizokumbwa na majanga asilia kama vile mafuriko, matetemeko ya ardhi, njaa, ukame, umaskini, magonjwa, vimbunga, na kadhalika lakini pia zilizokumbwa na majanga ya kibinadamu kama vile migogoro binafsi na ya...
  11. Smith Rowe

    Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

    Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu. Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
  12. S

    SoC04 Uboreshaji wenye kuleta unafuu wa usafiri kwa watoto wa kitanzania (wanafunzi) na chakula mashuleni kote

    Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
  13. totoadela

    Vifo vya watoto mashuleni vinavyotokana na kufanya usafi kwenye ghala za kuhifadhia mahindi

    Habari ndugu zanguni, Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
  14. M

    Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani? Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
  15. SteveMollel

    Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  16. N

    Chanzo cha ongezeko la Kataa Ndoa, feminists wanaharibu kizazi kijacho

    Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana physical power, yaani mfano hata kazi ngumu au vitu vigumu vitamshinda... Na tofauti nyingine nyingi...
  17. SteveMollel

    Filamu hizi tazama na mpenzi wako, usitazame na watoto

    Usiseme hukuambiwa. Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu. 1. NYMPHOMANIAC Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna...
  18. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi kulea watoto shida ni . tunaishi mimi na baba watoto na wifi yangu pamoja na watoto wawil wadog ambao...
  19. R

    Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

    Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni...
Back
Top Bottom