Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
Jamani kwa mwenye anajua maslai ya polisi kwa sasa embu atuambie maake nasikia kwamba ajira walizotoa mwaka huu maslai wataboresha zaidi, ukizingatia kwa sasa ni vijana watupu wamepewa kipaumbele but kwa upande wangu i think this all its done because of the general election on 2025.
Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira.
Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina kwa fedha za kuajiri wahitimu wengi waliopo mtaani.
AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele.
Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama taifa tumekuwa nyuma zaidi huku baadhi ya mataifa yakituacha mbali sana katika nyanja ya elimu...
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani
JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiri graduate...
Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza tunaomba utumalize wote tuingie kwenye ajira.
Maana uzee unagonga hodi na sisi hatujaonja keki ya...
Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili.
Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani.
Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi.
Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu.
Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
Kumekuwa na zana teknolojia Ina haribu watu hasa mitandao ya kijamii na maudhui yanayopatikana ndani yake ila teknolojia ni mwokozi wa ongezeko la ajira kama tukizingatia mambo ya fuatayo Kwa umakini.
1. Vyuo ya teknolojia viongezeke.kama tunavyoona veta ni mwokozi pia vyuo vya teknolojia hasa...
Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣
Uvuvi ni chanzo cha ajira pia ni chanzo Bora cha kitoweo kama ilivyo ufugaji hasa kwa hapa Tanzania.
Ili uvuvi ulete Tija na mtokeo ya kueleweka sana ndani ya taifa ni vizuri kama taifa likaanza kuingiza mikakati Bora kama ifuatavyo hasa Kwa wakazi wa Kanda ya ziwa hasa vijana wa maeneo hayo...
TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili.
Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira.
Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi,
Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
Tz yetu hii imejikita kwenye michezo michache sana na hiyo michezo serikali ndio hitoa sapoti Kwa kiasi chake ila mm Kwa miaka kumi ijayo ni wkati wa serikali pamoja na wadau wote nchini kuunga mkono michezo yote halali inayoweza kuongeza Pato la taifa na kuongeza ajira Kwa vijana.
Michezo yote...
Utangulizi
Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
Kwako mdau,
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo.
Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:-
Stationary
Secretary
Duka lolote
Reception
Costumer Care
Wakala wa miamala Mbalimbali
Lakini Pia Kwa Wale Wenye Uhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.