story of change 2024

The Neverending Story (German: Die unendliche Geschichte) is a fantasy novel by German writer Michael Ende, published in 1979. The first English translation, by Ralph Manheim, was published in 1983. It was later adapted into a film series.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    SoC04 Tanzania yenye ajira lukuki, likifanyika jambo hili inawezekana

    TANZANIA YENYE AJIRA LUKUKI INAWEZEKANA Likifanyika Jambo Hili. Twende Moja Kwa Moja Kwenye Point, Sekta Binafsi Ni Moja Ya Sekta Muhimu sana katika kuzalisha Ajira. Sitaki kuongelea Mazingira Yaboreshwe kuruhusu Uwepo wa Sekta Binafsi nyingi, Nachotaka Kushauri Mimi ni hiki hapa.. SERIKALI...
  2. J

    SoC04 Kitendawili cha hazina iliyopotea

    Tuntufi alikuwa msichana mdogo mwenye akili sana aliyekulia katika kijiji kidogo cha Mtwara, kusini mwa Tanzania. Wazazi wake, Bi. Na Bw. Mwakasege, ambao wote walikuwa wakulima wenye bidii wa mazao ya nafaka na mboga mboga, walimfundisha thamani ya elimu kama njia ya kubadilisha maisha yao na...
  3. Uncle Mabiki

    Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story

    Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
  4. Uncle Mabiki

    SoC04 Jambo Moja lenye hisia kwa Tanzania ya kesho hili hapa!

    Asante kwa wewe ulieingia kwenye huu uzi,ili kufahamu ni jambo gani hasa lililobeba maono ya Tanzania ijayo. Kwanini ni jambo ambalo nimelipa jina la hisia basi karibu na tiririka mpaka mwisho Kwa takribani miaka 50 Tanzania imepitia mifumo mbalimbali ya uongozi na uendeshwaji, pamoja na...
  5. MsigwaRolenzo1

    SoC04 Vitu hivi vitasaidia kuifikia Tanzania Tuitakayo

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni nchi inayopatikana barani afrika katika ukanda wa afrika mashariki, ni nchi iliyojariwa vyanzo mbalimbali vya kuvutia kama madini , mbuga za wanyama mbalimbali, milima, mito na reli za kisasa Vitu ambavyo watanzania wengi wanapenda kuiona Tanzania ikipiga hatua...
  6. HONEST HATIBU

    SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
  7. HONEST HATIBU

    SoC04 Tanzania ijayo ilenge kukuza vipaji na ujuzi ili vijana waweze kujiajiri

    Tanzania Tuitakayo ni nchi yenye maono ya kipekee ambayo inalenga kuwa na jamii yenye uwezo wa kujiajiri na kujitegemea bila kutegemea serikali. Maono haya yanazingatia kuimarisha miundombinu wezeshi ambayo itawawezesha wananchi, hasa vijana, kukuza vipaji na ujuzi wao ili waweze kujiajiri na...
  8. P

    SoC04 Tumeipokea Polisi Jamii na sasa tunahitaji muendelezo!

    Wasalaam mabibi na mabwana, kaka na dada zangu, awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa uzima na afya, pia nawashukuru sana waandaji wa hili jukwaa la Jamii Forum Story of Change. Kabla ya yote nilipongeze Jeshi la Polisi kwa namna ambavyo wanajitahidi kuifikia TANZANIA TUITAKAYO! CHUMBA CHA...
Back
Top Bottom