tanzania tuitakayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    SoC04 Iundwe Wizara ya Maadili, watoto, vijana na uzalendo kwa taifa

    Nafahamu ipo Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ikishughulikia masuala mbalimbali yahusuyo jamii, jinsia za vijana wakike na wakiume, changamoto za wanawake na wanaume, wazee pamoja na makundi maalum. Liakini bado haitoshi wizara hii kubeba mambo yote hayo. Taifa...
  2. M

    SoC04 Uhalifu mtandaoni na jinsi ya kukabiliana nao ili kuwa na Tanzania iliyo bora

    Miongoni mwa nchi zenye matumizi makubwa ya mitandao Afrika mojawapo ni Tanzania, ni nchi ambayo matumizi ya intaneti yanakua kwa kasi sana. Tunaweza sema utandawazi unakua kwa kasi kubwa mno, kiasi kwamba karibu au zaidi ya nusu ya watu wake wanatumia intaneti Hata hivyo si matumizi pekee tu...
  3. juwairiya othman

    SoC04 Ili kufikia Tanzania tuitakayo tunatakiwa kushiriki katika miundombinu bora ya kuijenga Tanzania yetu tuitakayo

    Ili kufikia malengo ya kufanikisha tanzania tuitakayo tukianzia kwenye suala la mazingira Tanzania ni nchi ambayo inae mazingira bora inae mazingira mazuri sanaaa lakini tukija baadhi ya maeneo mazingira yake yanakua yako katika Hali tatanishi ambapo unakuta takataka haziwekwi katika sehemu...
  4. D

    SoC04 Tanzania inatakiwa kujiuliza ni wapi inakosea

    Tanzania tuitakayo inataka mambo mengi sana ili tufike katika lengo letu ila Kuna mambo ya muhimu ambayo tunaweza kuanza nayo ili Yale mengi tunayo yataka yapate kufanikiwa kabla ya yote Tanzania inatakiwa kukaa chini kujiuliza niwapi nakosea niwapi nazingua na kwanini sifikii malengo yangu na...
  5. W

    SoC04 Tanzania tuitakayo ndani ya miaka 25

    ### Tanzania Tuitakayo Ndani ya Miaka 25 #### Utangulizi Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi, rasilimali watu yenye bidii, na utajiri wa utamaduni. Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, tunakusudia kujenga taifa lenye maendeleo endelevu, uchumi imara, huduma bora za kijamii, na mazingira...
  6. W

    SoC04 Tanzania tuitakayo miaka mitano hadi ishirini na tano ijayo

    Sera ya elimu itaje na kusimamia ujuzi wa watoto kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu. Elimu ilenge kutoa wataalamu na wajuzi, watoto watambuliwe uwezo mapema katika ngazi za awali kielimu ili waanze kupewa mafunzo kulingana na sekta elekezi. Mfano, mwenye kipaji cha mpira apewe elimu ya...
  7. Pule

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuondoa umasikini kwa Watanzania wengi

    Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
  8. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo vyombo vya habari viache kuajiri watu wasio kuwa na ujuzi wa habari& utangazaji na uandishi

    Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
  9. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  10. JOHNGERVAS

    SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka sita kufikia 2030 ni kufuta mimba za utotoni na ndoa za utotoni

    TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
  11. B

    SoC04 Watanzania tuwajibike

    Tanzania ni nchi yenye Mipango, sera na mikakati mizuri lakini mipango hiyo huwa inatekelezwa chini ya kiwango au kutofikiwa kabisa mfano ukisoma dira ya maendeleo iliyo andikwa mwishoni mwa miaka ya tisini ikilenga mpango wa maendleo wa miaka 25 kutoka 2000 hadi 2025 mipango ile kama...
  12. E

    SoC04 The vision for Tanzania's future, Tanzania tuitakayo

    In the heart of East Africa lies a nation brimming with potential, Tanzania. The vision for Tanzania's future, "Tanzania Tuitakayo," is a story of transformation and progress across various sectors. From education and health to technology, economy, environment, and infrastructure, this narrative...
  13. E

    SoC04 Kujenga Tanzania ijayo kunahitaji kujizatiti katika kuimarisha uongozi thabiti na imara ya utawala

    Kujenga Tanzania ya kesho kunahitaji kujizatiti katika kuimarisha uongozi thabiti na mifumo imara ya utawala. Kwanza, viongozi lazima wawe na maadili ya juu na wawajibike kikamilifu kwa wananchi, wakiepuka rushwa na kujiepusha na ubinafsi. Pili, sera za maendeleo zinapaswa kuwa na lengo la...
  14. TUKUSWIGA MWAISUMBE

    SoC04 Tanzania tuitakayo na mfumo wa malezi katika lishe

    TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi. Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile unategemea sana uwekezaji kwa binadamu katika umri wa awali wa maisha ya mwanadamu hususani umri 0 -2...
  15. J

    SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Utangulizi Nchi yetu Tanzania, kama ilivyo katika mataifa mengi, vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vyenye kemikali maarufu kama "Visungura" imekuwa changamoto kubwa. Tatizo hili limekua na kuwa janga la kitaifa, likiwaathiri zaidi vijana, ambao ni tegemeo la taifa kwa maendeleo ya...
  16. K

    SoC04 Umuhimu wa matumizi teknolojia ya vifaa vya kielektroniki kwenye chaguzi za viongozi Tanzania

    Ili kuendelea na kasi ya kuendana na ukuaji wa teknolojia na mifumo ya mitandao upo umuhimu mkubwa wa Tanzania kuingia kwenye utumiaji wa vifaa vya kisasa vya kuendeshea chaguzi mbalimbali za viongozi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Hii itasaidia kwenda...
  17. D

    SoC04 Haya yafanyike ili kuifikia Tanzania tuitakayo

    Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa Rais na Baba wa taifa J.K Nyerere maneno haya yamekuwa yakisemwa na viongozi na wanamapinduzi...
  18. Damaso

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Watoto wetu hazina yetu

    Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
  19. S

    SoC04 Kuimarisha Tanzania yenye maendeleo kwa kizazi cha kesho na kesho kutwa

    UTANGULIZI. Tanzania ni nchi moja yenye eneo la bahari na ardhi ni mjumuisho wa eneo lote la Tanzania bara na Tanzania visiwani yani zanzibari. Watanzania ni wote walio zaliwa ndani na nje ya Nchi na kwa mujibu wa sheria wakauchagua utaifa wa Tanzania baada ya miaka kumi na nane. Hivyo basi...
  20. B

    SoC04 Tubadilishe fikra zetu, na tuzalishe wataalamu wenye kuweza kupambana kimataifa kupitia bunifu zao za Kiteknolojia kwa ajili ya kukuza Uchumi wetu

    ''Fikira au Fikra (kutoka neno la Kiarabu) ni ujumbe uliotumwa kutoka akilini kwa ajili ya viumbe hai ili kujua kutenda jambo bila kukosea. Fikra husaidia na maamuzi: wanyama(mfano mifugo n.k) mara nyingi huishi bila ya kufikiri, yaani kujua nini kesho atafanya, lakini wanadamu hutumia fikra na...
Back
Top Bottom