vyombo vya habari

  1. Roving Journalist

    Eric Shigongo: Vyombo vya Habari vikipewa ruzuku ya Serikali vitakuwa vimefungwa mdomo

    Mbunge wa Buchosa, Eric James Shigongo amesema “Kuna hali mbaya sana kwenye Vyombo vya Habari labda kama Serikali imeamua vife ili wafanye mambo yao sawasawa, hakuna maendeleo bila Vyombo vya Habari.” Ameyasema hayo wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na...
  2. Roving Journalist

    Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  3. Roving Journalist

    WPFD DAY 2: Mei 2, 2024, Media AI and Emerging technologies, mjadala wa JamiiForums

    Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwa Mwaka 2024 yanafanyika Mei 1-3 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Mei 2, 2024 ni siku ya pili ya maadhimisho hayo. Wadau watajadili mambo mbalimbali, pia kuangazia mchango wa Uandishi wa Habari na...
  4. J

    SoC04 Mapinduzi katika Sekta ya Vyombo vya Habari ili kuijenga Tanzania bora

    Mageuzi tunayohitaji ya Vyombo vya Habari katika Jamii ya Kitanzania kuanzia Sasa mpaka miaka ijayo Mwandaaji: Johnson Paulo Meibaku Itakapofika mwaka wa 2029, Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja yake ya vyombo vya habari. Serikali, kwa kutambua umuhimu wa vyombo vya habari...
  5. Roving Journalist

    Dodoma: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yafunguliwa kwa mazoezi ya kukimbia

    Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi. Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
  6. Ojuolegbha

    Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.

    Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
  7. M

    Vyombo vya Habari Tanzania bado sana, mfano gazeti la Mwananchi

    Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka. Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli. Wakati...
  8. PendoLyimo

    Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
  9. Ojuolegbha

    Kamati ya taifa ya Maafa imetembelea Rufiji na Kibiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
  10. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  11. R

    Wanaomwibia Rais Samia ndio wanalipa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumsifia anaupiga mwingi! Anawajua?

    Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi. Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
  12. G-Mdadisi

    Baraza la Habari Tanzania lahimiza Weledi, umahiri kwa vyombo vya habari kulinda heshima kada hiyo

    WAANDISHI wa habari wametakiwa kufuata kwa kina maadili ya waandishi wa habari ili kukuza weledi na umahiri wa kada ya habari na kuzifanya taasisi za kihabari ziweze kuaminika na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Akizungumza na wadau wa habari katika ziara yake iliyofanyika Zanzibar tarehe...
  13. Mjanja M1

    Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

    Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea? Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini. HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA...
  14. Chizi Maarifa

    Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

    Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani. Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
  15. The Sheriff

    CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  16. G

    Tunahitaji vyombo vya habari vilivyo huru sasa

    Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni kusifia tu. Hakuna tena uchambuzi, ukosoaji na uelimishaji. Wako wapi akina Generali Ulimwengu, Absolom...
  17. B

    Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  18. Yoyo Zhou

    Makelele ya vyombo vya habari vya Magharibi hayazuii China kuendelea kuchangia ukuaji wa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa pato la taifa la China la mwaka 2023 liliongezeka kwa asilimia 5.2 ikilinganishwa na mwaka 2022. Lakini likihesabiwa kwa dola za kimarekani, lilikuwa sawa ama hata chini kidogo kuliko mwaka 2022. Wakati huo huo, pato la taifa...
Back
Top Bottom