Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA.
Warsha hiyo ililenga kuangalia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024.
Maadhimisho hayo yanayofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre yanngozwa na...
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanaendelea Jijini Dodoma, leo Mei 2, 2024.
Spika wa Bunge la Tanzania - Tulia Ackson ndiye mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo yanayofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre...
Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi.
Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024
Baadhi ya Washiriki na ambao...
Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na Mitaala mipya ya Elimu ya awali msingi sekondari na Ualimu.
Prof...
Wanabodi
23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).
Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024
https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0
Endelea kufuatilia kitakachoendelea...
Zuhura Yunus:
Rais Samia...
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika...
Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were members of Hamas, Islamic Jihad, and ‘actively involved in attacks’
The Israel Defense Forces on...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Chagua amewakosoa Magavana wa maeneo yaliyokumbwa na Mafuriko nchini humo na kueleza kuwa hajaridhishwa na hatua wanazochukua ili kukabiliana na janga hilo lililoua zaidi ya Watu 80.
Gachagua amesema Magavana wengi wamekuwa wakionekana tu kuongea na Vyombo vya...
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaoendelea muda huu ambapo Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mbatia wanazungumza.
https://www.youtube.com/live/CpVkVel-IRM?si=kRb-q_tl6RKvlnne
===
Wakili Mwabukusi anazungumza
Juzi walitaka kubadilisha makubaliano ya Mkataba huu kati ya Taifa...
Ninakumbuka enzi za chama kimoja palikuwepo Gazeti la Jumuiya ya Wafanyakazi likiitwa Mfanyakazi.
Niseme lile Gazeti lilikuwa Huru sana katika kutuhabarisha na hapajatokea tena Gazeti kama lile.
Kwa sasa Vyombo Vyote vinatoa Habari za kupelekewa Ndio sababu Vichwa vya habari kwenye magazeti...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
Ni upuuzi Kibanda na wenzake kuwaambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa mijadala hii miaka mitano iliyopita isingekuwepo.
Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari.
Mbarawa:
Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.