wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jumanne Mwita

    Hali ya Ngorongoro na wanahabari wanaoshinikiza Wamasaai waondolewe hawajui chochote wanatumika vibaya bila kujua

    Wakati watu wanashinikiza wanangorongoro waondolewa nawakumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa, na serikali imekuwa ikiheshimu amri hiyo toka Sept 2018, tunataka Serikali isiyo heshimu utawala wa sheria? #Ngorongoro Eneo la Ngorongoro asili...
  2. MC44

    Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  3. Trubetzkoy

    Namna wanahabari wanavyoharibu lugha ya Kiswahili

    Miaka ya hivi karibuni limeibuka wimbi kubwa la uharibifu wa lugha ya kiswahili (nchini Tanzania). Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha matumizi sahihi ya kiswahili ama kwa kujua au kwa kutokujua kama wanakosea. Kumeibuka dosari nyingi katika uandishi na utamkaji wa baadhi ya maneno ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    #COVID19 Semina na wanahabari na watu mashuhuri katika mitandao kuhusu afua za kinga ya UVIKO-19 pamoja na chanjo

    SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI...
  5. D

    Wanahabari na wanasiasa kutoka makundi ya vyama acheni kupinga zoezi la machinga, mnatafuta sifa za kijinga

    Kero ya machinga huko barabarani hapati rais peke yake, kero ya machinga hapati waziri mkuu peke yake, kero ya machinga hapati RC, DC au mkurugenzi peke yake! Kero hii ya machinga wanaipata wanainchi wengi wastaarabu wanaozingatia kanuni na sheria za inchi. Kero ya machinga tunaipata sisi...
  6. kavulata

    Wanahabari wetu ni dhaifu sana

    Inawezekana mitaala yetu nchi nzima ni mibovu hivyo inatoa wanafunzi, walimu na wahitimu wabovu pia kwenye kila fani, lakini wahitimu kwenye journalism ni wabovu zaidi, Zamani waandishi habari walikuwa mahiri sana kiasi Cha kuunda mhimili 4 baada ya serikali, bunge na mahakama. Mwisho wa...
  7. Jacobus

    Wanahabari wetu kuweni makini kutuhabarisha

    Leo katika kipindi cha magazeti cha Radio Free kurasa za michezo mdada kanisitua baada ya kusema 'Ansufati anatabiri timu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya England', akisema habari hiyo ni ya gazeti la Uhuru. Juzi kwa maana ya Jumapili, tumecheza na timu ya Levante tukiwa nyumbani na kuwafunga 3...
  8. B

    Aliyoyasema Msemaji Mkuu wa Serikali kwenye Mkutano wake na Wanahabari leo

    YALIYOJIRI WAKATI MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI – MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKITOA TAARIFA YA WIKI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA UTENDAJI WA SERIKALI LEO SEPTEMBA 12, 2021 DODOMA. # Kuna baadhi ya maeneo yamepata changamoto ya kukatika kwa umeme, ni kwa sababu ya kazi...
  9. B

    CCM itaongea na Wanahabari kuanzia saa 6 mchana huu

    Mkutano na Waandishi wa Vyombo Vya Habari Jijini Dodoma Leo.
  10. Stephano Mgendanyi

    Aliyoyazungumza msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na wanahabari leo jumamosi septemba 04, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021. 1. BEI YA MAFUTA. Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
  11. S

    Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

    Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111 Usikose...
  12. Stephano Mgendanyi

    Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi akiongea na Wanahabari Agosti 03, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA KATIBU MKUU WA UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AKIONGEA NA WANAHABARI AGOSTI 03, 2021. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kenani Kihongosi alianza kwa kumshukuru Mwenyezimungu na kutoa salamu za pole kwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe...
  13. Analogia Malenga

    Ijue Pegasus, software inayotumika kuwadukua wanaharakati na wanahabari

    Pegasus ni jina linalomaanisha Farasi Mwenye mbawa. Ambalo ni namna ya kuonesha kuwa software hiyo inafanya kazi kama Farasi wa Matrojan(Trojan Horse) lakini yeye anaweza kupaa. Software ya Pegasus imegundulika 2018 na kampuni ya Israel ya NSO inauwezo wa kudukua hadi iOS 14.6. Kampuni...
  14. Shadow7

    Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
  15. The lost

    Rais Samia: Sio na kigazeti chako mara uandike Samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli

    Wakuu Asalam aleikum, Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali. Baada ya kauli hiyo vyombo vyote vikawa vya mlengo mmoja na wale waliotaka kwenda kinyume walinyooshwa kwa mkono wa...
  16. Ghazwat

    Wanahabari wa Michezo wawahoji wapinga mabadiliko Yanga kama walivyokuwa wakifanya kwa Simba SC

    Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO...
  17. Idugunde

    Nyakati za Kiongozi wa Nchi kutukuzwa na kupambwa na Wanahabari umerejea tena

    Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema. Kuna wakati wananchi waliaminishwa kuwa mfalme amelithishwa viatu vya mwalimu Nyerere. Kilichofuata baada ya miaka miwili ni...
  18. kirikou1

    Hivi Tanzania tuna waandishi wachunguzi na wachambuzi huru?

    Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media. Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
Back
Top Bottom