wanahabari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  2. N

    Nani yupo Nyuma ya Wanahabari kwenye Sakata la Bandari? Au ni 'Uzalendo wao'?

    MAULIDI KITENGE NA WENZAKE WANAVYOWAPENDA WATANZANIA. Na Thadei Ole Mushi. Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela wakiwa nje ya Ofisi za makao makuu ya DP World kutuhabarisha manufaa ya DP World. Ni vijana wazalendo sana maana wametumia nauli zao, wamelipia hoteli kwa mishahara yao, na...
  3. Mwande na Mndewa

    Wachambuzi wa habari na wanahabari wanaokwenda Dubai wanafadhiliwa na nani?

    Ilianza muda mwaka Jana wanahabari kadhaa walienda Dubai kuchunguza ufanisi wa bandari,tukawaona wabunge nao wakienda Dubai,na Leo wanahabari kadhaa wa vipindi vya asubuhi wataanza kutangaza matangazo ya asubuhi Moja kwa Moja toka Dubai,nani anafadhili suala hili!?
  4. Buyaka

    Wanahabari wa Tanzania bado sana aisee

    Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema: Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali ni njema...... Mmenielewa ndugu zangu?? Waandishi wakaitikia ndioooo!
  5. J

    Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

    Ni ukweli ulio wazi kuwa Waandishi wa habari ni watu wanaosubiria Teuzi na kwa maana hiyo ni wana-CCM. Chadema wamefanya operesheni +255 lakini hakuna chombo cha habari makini kilichoripoti positively sana sana kuna Gazeti liliripoti mgogoro wa Mbowe na Tundu Lisu katikati ya operesheni...
  6. benzemah

    Askofu Bagonza awashukia wanahabari, awataka waache kuandika kwa mihemko

    Watunzi wa vitabu na waandishi wa habari wametaki wa kuandika uhalisia kwa kufanya utafiti.na uchunguzi wa kuto sha ili kupata ukweli wa mambo badala ya kuandika kwa mihemko, jazba na visasi hali itakayosababisha. walaji wasipate kile kilichokusudiwa. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
  7. BARD AI

    Rais Ruto amuomba Raila Odinga kusitisha Maandamano, aahidi kuwalinda Wanahabari

    Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Uchaguzi (IEBC). Pia, Ruto amevihakikishia #VyomboVyaHabari usalama baada ya kuwepo kwa...
  8. BARD AI

    Bunge latunga kanuni ngumu kwa wanahabari, wadau wasema zinarudisha nyuma uhuru wa habari

    Bunge la Tanzania limetunga Kanuni mpya za mwaka 2023, ambazo zimeweka adhabu kwa waandishi wa habari na masharti ya namna ya kupiga picha ndani ya ukumbi wa Bunge. Kanuni hizo ambazo zimechapishwa katika Gazeti la Serikali (GN) ya Machi 21, 2023 zimeeleza maeneo yanayoruhusiwa kupiga picha na...
  9. B

    Mjema ataka Wanahabari kueleza kwa kina yanayofanywa na CCM

    Na Bwanku M Bwanku. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema amewaeleza wanahabari kwamba Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imefanya mambo makubwa sana kwenye maeneo yao hivyo wao wana jukumu kubwa la kueleza mambo hayo kwa wananchi ili...
  10. JanguKamaJangu

    Wanahabari waachiwa huru katika kesi ya kumrekodi Rais akitokwa na haja ndogo

    Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa alikuwa akitokwa na haja ndogo wakati wa kusikiliza Wimbo wa Taifa. Jumuiya ya Waandishi wa Habari...
  11. The Sheriff

    CPJ: Takriban wanahabari 14 wakamatwa, kushambuliwa au kunyanyaswa wakiripoti uchaguzi wa Nigeria

    Takriban wanahabari 14 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wamezuiliwa, kunyanyaswa, au kushambuliwa wakati wakiripoti uchaguzi mkuu wa Nigeria, akiwemo mmiliki wa tovuti binafsi ya habari ya WikkiTimes Haruna Mohammed Salisu, ambaye bado anashikiliwa na polisi bila kufunguliwa mashtaka...
  12. adriz

    Video: Angalia jinsi Rais Paul Kagame anavyowapiga KO wanahabari magharibi kwa majibu ya kibri na kejeli

    Moja kwa moja.. Nimecheki hii video nimeamini huyu jamaa ni jeuri sana halafu anajiamini .Ila lafudhi ya kingereza chake hata akisimamishwa na mimi niliyesoma pangu pakavu tia mchuzi mimi nitaonekana nimesoma IST au muingereza kabisa .
  13. JanguKamaJangu

    UNESCO: Waandishi 86 waliuawa ndani ya Mwaka 2022

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limesema kuwa Mauaji ya waandishi wa habari na wafanyakazi katika vyombo vya habari yaliongezeka mwaka 2022 kutoka 55 na kufikia 86 kote ulimwenguni, hiyo ikiashiria kifo kimoja katika kila siku nne. ==== === === UNESCO reported...
  14. B

    Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  15. Roving Journalist

    Nape: Wanahabari, kama Mwanasiasa akitoa lugha ya matusi jukwaani achana naye usiripoti taarifa yake

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumzia uamuzi wa Rais Samia Suluhu kuruhusu mikutano ya siasa ya vyama, ambapo amewatahadharisha Wanahabari juu ya mikutano hiyo. Nape amesema “Rais amefungulia mikutano ya hadhara, ni matumaini yangu Wanahabari wa...
  16. BARD AI

    Wanahabari wanaodaiwa kuvujisha Video ya Rais Salva Kiir akitokwa haja ndogo wakamatwa

    Kiongozi wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa nchini humo, Patrick Oyet, ameripoti kuwa Wanahabari 5 wanashikiliwa na Idara ya #UsalamawaTaifa kuanzia Januari 3 na mmoja kuanzia Januari 4, 2023. Shirika la Uangalizi wa Waandishi wa habari la Committee to Protect Journalists (CPJ) limetoa wito...
  17. BARD AI

    Elon Musk azirejesha akaunti za Twitter za Wanahabari aliowafungia

    Bilionea Elon Musk amezifungulia akaunti za Waandishi wa Habari wa New York Times, CNN na Washington Post waliofungiwa baada ya Musk kuwashutumu kuwa walishare taarifa zake binafsi mtandaoni Elon aliweka Kura ya Maoni kuuliza kama akaunti hizo zirejeshwe na asilimia 59 ya watu milioni 3.6...
  18. Nyendo

    Nape: Rasilimali za nchi kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho

    Waziri wa habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye kongamano la habari leo, tar. 17, 12, 2022 lenye kauli mbiu isemayo, habari kwa maendeleo endelevu. Nape amesema, rasilimali za Taifa kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho, hawatumii kalamu zao kuibua ubadhilifu. Amesema...
  19. Analogia Malenga

    Nape asikitishwa na maslahi duni ya wanahabari

    Waziri Nape amesema msiba wa Joachim Kapembe aliyefariki akishuka Mlima Kilimanjaro umemfanya afikirie kuhusu maisha ya familia ya muandishi huyo. Akiwa katika Kongamano la maendeleo ya sekta ya habari amesema mwaka 2023 serikali itaweka nguvu nyingi katika kuboresha maslahi ya waandishi wa...
  20. BARD AI

    Ripoti CPJ: Wanahabari 363 wamefungwa duniani kote, 56 wapo Afrika

    Hadi kufikia Desemba 1, 2022, Wanahabari 363 walinyimwa Uhuru wa Kazi yao duniani kote ikiwa ni kiwango kipya cha juu zaidi kwa 20% kulinganisha na mwaka 2021. Kwa mujibu wa Ripoti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ), Waandishi wa Habari wasiopungua 56 walifungwa barani Afrika mwaka...
Back
Top Bottom