serikali

  1. Mto Songwe

    Nani alisema kuwa serikali haifanyi biashara ? Hii ni ajenda ya viongozi majambazi ya mali za umma

    Hii kauli ya kuwa serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo. Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake. Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
  2. Guantanamoh

    Mama Samia, viongozi wako wa serikali za mitaa watakukwamisha 2025 kwa tamaa zao

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa miaka...
  3. covid 19

    Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae. Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
  4. E

    Mauzo ya Anglo America kwa BHP msimamo wa serikali ni upi

    Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine maarufu kama GGM. Nchi nyingi zenye uwekezaji wa Anglo America ikiwemo Botswana South Africa zimetoa...
  5. Mtemi mpambalioto

    AJALI za Barabarani: Tatizo sio Polisi, Serikali oneni AIBU rekebisheni miundombinu! barabara ni mbovu sana

    Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa? Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani? nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
  6. S

    Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  7. M

    Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi.

    Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
  8. B

    Uchaguzi 2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 bila Katiba mpya ni mwendelezo wa kuchafua uchaguzi kama 2019

    Wakuu habari za wakati. Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote. Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
  9. TheForgotten Genious

    SoC04 Serikali ifanye manunuzi, malipo na usimamizi wa fedha za miradi kidigitali ili kuzuia ubadhirifu na Rushwa katika ngazi zote

    UTANGULIZI. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara nyingine baadhi ya miradi kukwama kutokana na uhaba wa fedha kwa sababu ya ubadhilifu. Chanzo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aililia Serikali Sakata la Kikokotoo

    MBUNGE NDAISABA AILILIA SERIKALI SAKATA LA KIKOKOTOO "Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha kanuni ya Kikokotoo ili kuongeza kiwango cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu? - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inalipa madeni...
  11. K

    Serikali yashindwa kusaini mradi wa LNG kwa miezi 9 sasa bila sababu. Je tuendelee kumlaumu Hayati Magufuli?

    Wadau kama link inavyosema hapo chini. Nini tatizo? === Tanzania is delaying key agreements needed to realize a $42 billion liquefied natural gas plant, slowing a project that developers Equinor ASA and Shell Plc warn has limited time to become a reality before demand for fossil fuels begins...
  12. DeepPond

    Tuzungumzie ndege ya Serikali ya Marekani iliyotelekezwa Angola

    Mwaka 2003 ndege ya shirika la serikali ya marekani (AMERICAN AIRLINES) boeing 727 ilikua imekwama (au tuseme imetelekezwa) nchini Angola (Luanda international airport) kwa kipindi cha miaka 4 na miez 7 ikisubiri matengenezo makubwa. Katika Hali ya kushangaza, wanaume wawili (Ben padila...
  13. A

    Hati ya Muungano inatambua serikali 3, kwanini CCM mlitudanganya miaka yote hii?

    Kutoka Kwa Zitto Kabwe, Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano. Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya? Ili muungano ueleweke...
  14. tpaul

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  15. K

    Uchaguzi 2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Bunge la JMT halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
  17. R

    Kamari yatafuna Taifa kimya kimya, Serikali ilizazame hili Kwa makini.

    Salaam,Shalom!! Nimesoma tafiti iliyofanywa na Taasisi inayotambulika Kwa Jina la SAUTI KUBWA: Isemayo. " Kamari yatafuna Taifa kimya kimya" iliyoandikwa na mwandishi aitwaye, Arodia Peter , makala hiyo imeandikwa 24 April 2024. Kwa uchache nasummarize; Ripoti ya Taasisi ya Utafiti na...
  18. Mwizukulu mgikuru

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali yaainisha Mpango wa Kusaidia Wachimbaji Wadogo Nchini

    Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde ameainisha mpango wa serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Mh Mavunde ameyasema hayo leo wakati akijibi swali la Mh Dkt. Christine Gabriel Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua mpango wa serikali...
Back
Top Bottom