mabilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya?!

    Tunakumbusha sio kwa ubaya. Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama inachunguza au ilitaifisha. Ni muhimu sana kudeal na ufisadi wa kutisha badala ya kukomaa na tudagaa huko...
  2. chiembe

    Chadema imemfanya Lissu kufilisika, enzi akifanya shughuli za uwakili, alikuwa ana mabilioni kwenye akaunti, sasa anatembeza bakuli

    Nadhani Chadema kuna tatizo, katika mawakili wa bei mbaya nchi nzima alikuwa Tundu Antipas Lissu, alikuwa bilionea. Tangu ajiunge Chadema, amefilisika kabisa, hana kitu, mpaka anaomba omba hela ya kununua gari. Atakuja kupata mjukuu aitwaye Majuto, na hapo bado ana nguvu, chadema watamtumia...
  3. Crimea

    Wafuasi wao wa Twitter tu walitosha kumchangia Lisu mabilioni ya pesa

    Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi. Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee. Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari! Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter Maranja Masese wafuasi laki...
  4. covid 19

    Serikali kupoteza mabilioni sababu ya tatizo la Internet

    Usipoziba ufa utajenga ukuta huu ni msemo wa wahenga ukiwa na maana kuwa mapuuza juu ya mambo madogomadogo upata taabu na hasara kubwa baadae. Mimi naamini dalili za hili tatizo zilikuwepo ila pengine wahusika walijisahau au kupotezea kwa makusudi haya tunayoyaona ni matokea ya mapuuza ya...
  5. BARD AI

    Wakili anayedaiwa kuyatetea Makampuni yanayokopa na kukwepa kulipa Mabilioni ajitetea

    Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani. Wakili Frank Mwalongo anakiri ni kweli anawakilisha kampuni sita (6) katika kesi zao dhidi ya EQUITY...
  6. PendoLyimo

    Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  7. W

    Vodacom Kumlipa Fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie"

    Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie" Mahakama ya juu ya Rufaa Nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa Huduma ya “Tafadhali nipigie”, Kenneth Makate ambaye alikuwa Mfanyakazi wa Vodacom Aidha, Mahakama imeiamuru...
  8. U

    Mabilioni ya pesa inayoshinda simba ligi ya caf ikiwemo bilioni 5 ya African super League waliyopewa mwaka jana zinaenda wapi ?

    Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ? Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league. Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
  9. BARD AI

    Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni huduma ya "Tafadhali Nipigie"

    Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa huduma ya ‘Tafadhali Nipigie,’ Kenneth Makate. Aidha, mahakama imeiamuru Vodacom imlipe Makate kati ya asilimia 5 hadi 7.5 ya jumla ya mapato yaliyotokana na huduma hiyo kwa zaidi ya miaka 18...
  10. Kaka yake shetani

    Kulivyo Geita tofauti na mabilioni ya dhahabu yaliyopo

    Hii nchi sijui shida hipo wapi yani kuwepo kwa mgodi mkubwa hapo geita na kiwango cha dhahabu inayotoka ni tofauti na mkoa wenyewe hapa geita mjini. nyumba za ovyo kwa wananchi,mazingira mabovu hakuna mipango miji na matukio yaliyopo huku hakuna toofauti na kongo kule goma. nimefika ila mpaka...
  11. S

    Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  12. Jaji Mfawidhi

    Wafuatao wamehujumu Tanganyika? Warudishe mabilioni waliyolipwa! Dini inasemaje kula mali ya maskini na yatima

    Maamuzi ya Mahakama , kwa kifupi yanakubali hawa walifukuzwa na CHADEMA , kwamba sasa si wabunge ila wasikilizwe rufaa ya kupingwa kufukuzwa. Maskini wa Tanganyika aliyebebeshwa mzigo wa Tozo za Simu zinazopanda, aliyebebeshwa Mzigo wa nauli kupanda wakati mafuta yanaendelea kushuka kwa niaba...
  13. chiembe

    Dk. Kalemani: Serikali imetoa mabilioni kujenga maktaba kubwa kabisa ya hadhi ya Kanda ya Afrika Mashariki Chato

    Kama bado hujasema basi utasema, wanachato wanajengewa maktaba kubwa kabisa kama Ile ya makao makuu Dar es salaam. Serikali imeshaanza kumwaga mabilioni. Hayo yamesemwa na mbunge wa Chato dk Kalemani wakati akitoa neno katika mkutano wa hadhara wa Makonda. Kalemani ameeleza kwamba, baada Rais...
  14. BARD AI

    Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  15. ChoiceVariable

    Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  16. MK254

    Mabilioni ya Urusi yaliyotaifishwa kupelekwa Ukraine, yaani $300 billions

    Jameni $300B sio hela ndogo, ni ndefu kinoma yaani itabidi uunganishe uchumi wa Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC na bado ubaki na salio.... ============ The US and European partners are studying the legal basis for using about US$300 billion of frozen Russian assets to restore Ukraine...
  17. K

    Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  18. F

    Tuambiwe ndege yetu iliyoachiwa kutoka Netherlands imeachiwa kwa makubaliano gani au kwa mabilioni mangapi.

    Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa na wawekezaji wa Netherlands kwa miezi zaidi ya sita imeachiwa. Je ni kwa makubaliano gani au tumelipa kiasi gani? Ni haki ya wananchi kujua mambo haya na serikali isione fahari kutuambia tu kirahisi ndege imeachiwa. Ni wakati wa ndege zetu kuleta faida na...
  19. Suley2019

    Mkaguzi Mkuu wa Serikali afichua wizi wa Mabilioni unavyofanywa na Kampuni za maji

    Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali. Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
  20. Its Jensen

    Kwanini biashara yako haikui? Jifunze Jinsi kampuni hii ilivyokuza mtaji kufikia mabilioni ya pesa

    Habari wana jamii forum, ni matumaini yangu mnaendelea salama baada ya mda mrefu kupita bila kushusha thread ya moto.... Leo nimependa kuzungumzia swala zima la mauzo (sales) na jinsi ya kuongeza wateja kwenye biashara, kuna msemo unasema "kufungua biashara na kuuza ni vitu viwili tofauti...
Back
Top Bottom