wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

    Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi? Je, wanakuwa wanapigana? Je, wamekimbia na kuacha familia yao? Je, wanawatumia...
  2. G

    Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
  3. A

    Yu wapi mwana JF Suzy Elias?

    Ni muda mrefu sasa mwana Jf Suzy Elias haonekani humu jukwaa la Siasa na isivyo kawaida! Yu wapi ndugu yetu?
  4. BwanaSamaki012

    Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  5. SteveMollel

    Unazikumbuka hizi movies? Ulikuwa wapi?

    1. BABY'S DAY OUT Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake. Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
  7. Baba Kisarii

    Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

    Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI huyo ni mchawi mwana wa ibilisi. Hao wadada ni wachawi na washirikina wazoefu waliojaa kiburi...
  8. The unpaid Seller

    Ziko wapi tena zile "updates" za Faiza Fox juu ya Hamas "wanavyowamaliza Mazayuni" wa IDF

    Peace, Nimemiss sana sana zile updates za FaizaFoxy juu ya "wanaume Hamas" wanavyo wamaliza IDF pale Gaza. Awali alianza kwa kuvpatia habari mpasuko (breaking news) jinsi Wanaume Hamas walivyoivamia Israel na kuteka mazayuni na mengine kuyaua huku akisimuliatkwa madaha, mbembwe na makidai ya...
  9. BICHWA KOMWE -

    Catherine Kahabi ni nani na ametoka wapi?

    Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi? Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo. Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au...
  10. T

    Wapi nitapata Virtual Reality kwa hapa Bongo? Mimi ni mdau sana wa hizi kitu

    wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine. Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android...
  11. Intelligent businessman

    Hivi ivory tomato ilipotelea wapi?

    Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato. Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!. Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red gold, kuanzia ladha na hata muonekano. Na hata tangazo lake Lili fanyiwa na marehemu king majuto.
  12. Nsanzagee

    Mimi ninaamini, nyuma ya migogoro mingi ya Muungano inayoibuliwa na Wazanzibar, kuna kitu kimejificha!

    Kero nyingi za Wazanzibar kuhusu muungano, huibuliwa na kuchochewa na wanao kaa nje ya Zanzibar yaani wapo Ughaibuni huko, sisi tulioko huku tutawaaminije kama hawakutani na kutumwa na maadui wa muungano wetu na wenye masilahi binafis? Badala ya kurahisisha tu kwamba muungano uvunjwe au wabara...
  13. Msukusu

    Ugonjwa Wa Chekelea Umepotelea Wapi?

    Kipindi Cha Nyuma Miaka Ya 2000- 2012 Katikati Hapo Mashuleni Wasichana Walikumbwa Sana Na Chekelea, Hasa Bording School Walimu Walichokuwa Wanafanya Ni Kutenga Siku Za Outing Day Kila Mwisho Wa Mwezi. Au Kualika Shule Jirani Kwa Ajili Ya Debate Hasa Shule Za Boys. Baada Ya Debate Kunakuwa Na...
  14. ACT Wazalendo

    Mtutura: Mbolea ya Ruzuku haiwafikii wananchi, fedha zinazotengwa zinakwenda wapi?

    Waziri Kivuli wa Kilimo, Umwagiliaji na Maendeleo ya Ushirika, Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura, ameitaka Serikali ieleze fedha za ruzuku zimepelekwa wapi ikiwa wakulima milioni 2.55 sawa na asilimia 75 ya wakulima waliosajiliwa katika mpango wa ruzuku hawakupata wala kutumia mbolea hiyo licha...
  15. kabunguru

    Wapi pa kurekebisha Thamani hii?

    Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka inakodishwa kama AirBnB/Apartment Kwa anayehitaji. Ahsante
  16. Nakubusu

    Sauda Mwilima Yuko wapi?

    Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
  17. Kyambamasimbi

    DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date. Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa je usalama wa bidhaa hiyo kwa mlaji ukoje? Jamani fuatilieni watu wajue wanatumi bidhaa ya namba Gani.
  18. Chaggabeibe

    Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
Back
Top Bottom