historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Wanajadili Historia ya Bibi Titi Mohamed lakini hakuna hata mmoja anaeijua historia yake

    Nimefikishiwa taarifa kuwa kuna Group la vijana leo kutwa nzima wanajadili historia ya Bibi Titi. Mpashaji habari wangu kaniuliza maswali mengi kuhusu historia ya Bibi Titi na kama nilimfahamu wakati wa uhai wake. Ukweli ni kuwa hakuna aliyemwandika Bibi Titi kama anavyostahili kuandikwa...
  2. Meneja CoLtd

    Historia ya mwanamke wa Kiafrika aliyedhulumiwa kwa sababu alikuwa na matako makubwa zaidi (Sara Baartman)

    Sarah Baartman alizaliwa mwaka 1789 katika kabila la khoikhoi huko Afrika kusini, mama yake alifariki Sara akiwa anamiaka 2 na baba yake alifariki Sara akiwa ni binti wa makamo. Baadae Sara aliolewa na mwanaume kutoka kwenye kabila lao, ambaye nae aliuliwa na Mkoloni wake wa kiholanzi. Sara...
  3. Meneja CoLtd

    Historia fupi ya jamii ya watu wenye vichwa virefu (Mangbetu)

    Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana. Hivyo basi watoto wakizaliwa walilazimika kifungwa nganganga na kitambaa kichwani (LIMPOPO) ili kutengeneza...
  4. Victor Mlaki

    Mafundisho mapya ya kuhusu miujiza (masuala ya kiroho) kutolewa na Kanisa leo: Kwa nini historia inajirudia leo kutoka mwaka 1978?

    Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
  5. Mohamed Said

    Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  6. Mohamed Said

    Historia ya Karume Karume Day 2022 Ilikuwa Kadha Ikageuka kuwa Kadha wa Kadha

    Karume Day. Angalia mahojiano ya historia ya Abeid Amani Karume na uhusiano wake na watu wa Dar es Salaam 1950s: https://youtu.be/mDVeLEooKwE?si=nBlCX_hmGUwKoprZ
  7. Southern Highland

    Wenye CAF CL tittle 5 wamekuja kujifunza. Unahisi hawaijui historia ya mkufunzi?

    Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja. Haya mwenye makombe yake matano cha CAF CL amekuja kujifunza namna ya kuendesha timu ya mpira kwa ambaye hana...
  8. Suley2019

    Binti wa miaka 17 aandika historia baada ya kuhitimu ngazi ya Uzamivu (PhD)

    Mwanachuo kijana wa Chicago alitembea katika programu ya mahafali ya chuo kikuu chake baada ya kuweka historia kwa kupata shahada ya udaktari akiwa na umri wa miaka 17. Dorothy Jean Tillman II alisherehekea mafanikio hayo adimu, akielezea wiki ya mahafali kama "isiyo ya kawaida" na "imejaa...
  9. Mohamed Said

    Kibao cha Aziz Ally Mtoni na Historia Yake

    AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki." Kabla hajajenga nyumba yake mashuhuri ya Mtoni leo panaitwa Mtoni kwa Aziz Ali, Azizi Ali alikuwa...
  10. Mohamed Said

    Historia za Kusisimua Lakini Hazifahamiki

    Leo asubuhi nimeingia Maktaba nikawa napekuapekua katika Memory Lane yaani Mtaa wa Kumbukumbu. Nikakuta video fupi fupi kadhaa. Nikazisikiliza. Nimepigwa na mshangao. Yaliyomo ndani ya video hizi hakika yanasisimua: https://youtu.be/P9N56F4vw4o?si=wLlnSOx4_6rufofT...
  11. G

    Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
  12. S

    TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
  13. M

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO

    UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔 1.Wanaume/wanawake wote hawafai. 2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji. 3.Nawachukia sana wanaume/wanawake 4.Hata wewe ni wale wale tu. 5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume. KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
  14. GoldDhahabu

    Historia haitamsahau Lissu kwa kuipigania Tanganyika

    Lissu anaweza kuwa na mapungufu yake kwa sababu ni binadamu. Lakini kwa jinsi alivyoipigania Tanganyika tokea akiwa bungeni hata sasa akiwa nje ya Bunge, Historia haitamsahau. Watanganyika wa leo wasipomwelewa, wazalendo wa kesho watakuja kumjengea sanamu la heshima kumuenzi. Kajipatia heshima...
  15. Mohamed Said

    Maktaba Imetembelewa na Mwalimu wa Historia ya Tanzania

    MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za sekondari. Kwa mara ya kwanza nimebahatika kusikia na nimejifunza mengi kwanza changamoto zilizomo katika...
  16. Mohamed Said

    Historia Zilizojificha Katika Karatasi za Barua

    HISTORIA ZILIZOJIFICHA KATIKA KARATASI ZA BARUA Picha ya kwanza hapo chini ni Mamboleo Rashid Makoko, picha ya pili ni Julius Nyerere na ya tatu ni Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe. Historia za watu hawa watatu zote zinaunganishwa na historia ya Tanganyika kama ilivyokuwa wakati ikielekea...
  17. Lycaon pictus

    Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
Back
Top Bottom