kansa

Valittu kansa is the twelfth studio album by Finnish pop singer Antti Tuisku, released on 7 February 2020 through Warner Music Finland. The album received positive reviews from critics; Oskari Onninen from Helsingin Sanomat called it "an exceptional Finnish pop effort and a five-star album", while Jukka Hätinen, writing for Rumba, described it as "a provocative pop diamond".In its first week of release, the album entered the Finnish Albums Chart at number one, becoming Tuisku's sixth number-one album.

View More On Wikipedia.org
  1. Black Legend

    Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  2. Nyendo

    Urusi yasema Chanjo za Saratani ziko tayari kutolewa ndani ya miaka mitatu

    Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa kutumia chanjo za kansa ndani ya miaka michache ijayo, ikizingatiwa ufadhili wa kutosha na msaada...
  3. Shining Light

    Sio kila uvimbe wa titi ni kansa

    Mwaka wa 2018, karibu mwezi wa Januari, binti mmoja alijifanyia uchunguzi wa mwili na kugundua uvimbe mkubwa kwenye titi lake, ambao uliendelea kuongezeka hadi mwezi wa Oktoba alipofanyiwa uchunguzi wa matibabu. Licha ya wasiwasi wa uwezekano wa kansa, mdada huyo alikawia matibabu kutokana na...
  4. Nsanzagee

    Jamaa Alienda kupima! Kaambiwa ana kansa ya ubongo` jamaa kamwambia Doctor, toa ubongo! Dct! Mmh! Utakufa!!

    Jamaa mmoja alienda kupima na akagundulika ana kansa ya ubongo! Jamaa alisikitika sana, mwishowe kamwambia Doctor, Doctor basi ondoa ubongo! Doctor Akashangaa, akamwambia! Utakufa maana hakuna mtu aweza kuishi bila ubongo! Jamaa akamwambia Doctor, Siyo kweli doctor! Mbona ccm wanaishi tu!!
  5. A

    Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  6. BARD AI

    Watoto wengi wanakutwa na Saratani iliyofikia hatua mbaya

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi. Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
  7. MacDking

    Siri ya dawa ya saratani/ kansa (cancer) na vyakula kwenye tiba

    CHEMOTHERAPY NA TIBA YA MIONZI MATOKEO DALILI Kukosa hamu ya kula, kutapika, kuharisha, upungufu wa damu, kupoteza nywele, wasiwasi ,kukosa usingizi, maumivu, uchovu, vidonda mdomoni, yeast infection, unyogovu. SABABU Zilizotajwa hapo juu ni baadhi ya dalili za matibabu ya saratani ya sasa...
  8. MacDking

    Kansa /saratani /cancer

    inaweza kusaidia, kuponya, kutibu au kuzuia ... Kuuma Misuli Ugonjwa wa Asidi Reflux (Reflux Acid) Ugonjwa wa Arthritis Pumu Fizi za Kutokwa na damu Majipu Ugonjwa wa utumbo Saratani Cholesterol Ugonjwa wa Uchovu wa muda mrefu Kuvimbiwa COPD Ugonjwa wa Crohns Ugonjwa wa ngozi...
  9. C

    Sauti kutoka Butiama: Haya ni "kansa" kwa Taifa letu, Mkiziba masikio, tunagota!

    Habari wana JF, Tumeacha njia, tupo ukingoni. Nchi ipo pabaya sana, Kwa viashiria vyote! Hakuna mjadala, wala hakuna mwenye majibu. Si UMOJA wetu, wala.......Si UZALENDO wetu......., vyote vimetikiswa nyang'anyang'a. Kutoka hapa Mwitongo - Butiama, haya mambo ndio "KANSA" zinazolitafuna...
  10. LIKUD

    Huenda binadamu ni silaha za kibaiolojia zilizoletwa duniani kama virusi wa kansa ili kuiharibu Dunia

    Tofauti Kati ya Dini Na sayansi/filosofi kuhusu Sababu ya Sisi kuwepo duniani Na Nani ametuleta mahali hapa Ni Moja: Approach ya Dini katika kuelezea Sababu yetu kuwa hapa duniani inaanzia kwenye hitimisho (Religion approach is from the conclusion) kwamba Mungu ndio ametuleta hapa duniani ili...
  11. Contraband

    TANZIA VIRGIL ABLOH, Mwanzilishi na Designer wa OFF-WHITE Afariki Dunia kwa Kansa

    Mbunifu huyu aliyejipatia umaarufu kwa ubunifu wa mavazi ya mtaani (streetwear) na kupelekea kuingia mkataba na Makampuni kama Nike na Jordan amefariki dunia muda si mrefu kwa ugonjwa wa kansa akiwa na miaka 41,aliogundulika nao mnamo 2019. Mbunifu huyu alikuwa mashuhuri katika utamaduni wa...
  12. Suzy Elias

    Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  13. benzemah

    Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili

    Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, kitendo cha kujamba japo kinachukiza na kukera lakini kina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Wanasayansi hao...
  14. ndege JOHN

    Msaada: Nawezaje kuchunguzwa kansa na magonjwa ya figo?

    Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo. Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
  15. W

    Haji Manara ni kansa ndani ya Simba SC

    Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba. Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa. Anasahau hakuna branda ya Haji Manara Bali kuna brand ya Haji Manara wa Simba. Ukiondoa Simba hakuna Haji...
Back
Top Bottom