haki

  1. BARD AI

    Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
  2. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi Alia na haki za wazee Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi, amesema ukatiri dhidi ya wazee yakiwamo mauaji kwa baadhi ya mikoa,ni moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wazee hapa nchini. Kutokana na Hali hiyo, Profesa Ndakidemi ameishauri serikali kwa kushirikiana na viongozi wa dini pamoja...
  3. T

    Mkubali msikubali Uchaguzi wa 2024/25 hautakuwa huru na haki

    Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024,wabunge,madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni kulalamikiwa na ACT wazalendo na hata kususia uchaguzi uliofanyika mwezi huu Zanzibar. Hivyo...
  4. kiroba kifupi

    SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo itajali, kuboresha sheria za nchi na kuthamini haki za wafungwa magerezani

    UTANGULIZI. 👉 Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi. Picha kwa hisani ya mtandao. 👉 Adhabu ya kifungo jela inakusudia, 1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu wale waliovunja sheria na kuonyesha kwamba matendo yao hayakubaliki katika jamii. 2. Kuzuia Uhalifu...
  5. dogman360

    Wanafunzi wa clinical medicine March intake Wanastahili Haki sawa na Wenzao wa Septemba!"

    Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa wanafunzi wa Machi kusubiri hadi Agosti ili kufanya mitihani yao ya supplementary wakati wenzao wa Septemba...
  6. C

    Makonda kusikiliza kero zenye kesi Mahakamani Arusha, asema yupo tayari kupoteza chochote mradi mtu apate haki yake

    Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi? Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani? ===== Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...
  7. C

    Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaheshimu mhimili wa Mahakama na katika usikilizaji kero za wananchi, viongozi wa chama hicho hawatajihusisha na kesi zilizopo mahakamani. Makalla ameyasema hayo leo Jumanne Mei 7, 2024 akifanya mahojiano...
  8. Black Opal

    Hakuna kifaa chochote kilichoungua lakini dili zangu zimeharibika sababu ya kukosa umeme, naanzia wapi kiwashtaki TANESCO?

    Wakuu kichwa cha habari nadhani kinajieleza vya kutosha. Hakuna uharibifu wowote nilioupata upande wa vifaa kutoka na "Hitilafu" hii ya umeme lakini dili zangu zinaharibika sababu ya hitilafu hiyo. Kazi nyingi zinategemea umeme, unapata dili fresh, unapokea advance na kazi inabidi ikamilike...
  9. M

    Kimei alaani mauaji ya kijana Octavian, ataka haki itendeke na kuwatuliza wananchi

    TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela, kitongoji cha Komela Kaskazini kata ya Marangu Magharibi ambaye anashukiwa kuuwawa na askari wa hifadhi ya...
  10. D

    Godbless Lema ajiangalie

    Nabii Mkuu, Kada kindakindaki wa chadema Mbunge wa zamani wa Arusha mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kaskazini asipoangalia Makonda anaweza kumtengenezea zengwe hapo Arusha Bila shaka munakumbuka kuwa hapo Arusha aliwahi kudaiwa kuwa ni tapeli wa Magari, kwa Makonda alivyo na chuki na...
  11. HONEST HATIBU

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Mfumo wa Haki Usio na Uonevu

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa katika mfumo wetu wa haki. Watu wasio na hatia mara nyingi hufungwa jela, wakati wahalifu wanakimbia...
  12. Abdul S Naumanga

    SoC04 TANZANIA MPYA: Taifa Lenye Raia Wanaojiamini Wenye Kuleta Maendeleo

    Source: Kitini cha sheria UTANGULIZI Hapa nchini, kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu watanzania: je, ni wapole au waoga? Mjadala huu huibuka hasa pale ambapo raia hawaridhiki na vitendo vya mifumo ya utawala, kama vile suala la DP World, urasimu katika maofisi ya umma, na uonevu...
  13. N

    Ni haki yetu kutangaziwa kama tozo zimerudi kwenye malipo ya VING'AMUZI.. (Ada, Vat na Kodi)

    Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi? Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti.. Kama kuna yoyote aliefanya malipo...
  14. Sir Kisesa

    Taarifa kabla hujasema chochote itafakari kwanza ukweli au usahihi wa hoja husika

    Ndio tittle ya uzi huu... Sote tunajua matokeo ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupelekea vijana wengi kutumia fursa hio vizuri wengine wanatumia vibaya. kuna watu wanatumia teknolojia kuiba, kutapeli na mengine kama hayo , kesi nyingi za kitapeli tumeziona kila kona pasina ukomo wake...
  15. M

    Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  16. I

    Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

    Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake". Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
  17. R

    Watumishi wa umma wakiwemo walimu, simamieni HAKI katika chaguzi zijazo 2024&2025.

    Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk. Kwa kuwa Sheria za...
  18. M

    Kwenye Ishu ya Uzanzibari na Utanganyika Lissu amekuwa upande wa haki siku zote

    Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari. Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa watu waliojaribu kuwatetea Wazanzibari dhidi ya muungano huu ni Tundu Lissu. Lissu amekuwa consistent...
  19. ACT Wazalendo

    Hoja Sita za Kutaka Mabadiliko ya Mifumo ya Uchaguzi, Haki na Kulinda Rasilimali za Nchi

    Uchambuzi wa ACT Wazalendo kuhusu mpango wa bajeti wa Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2024/25. Utangulizi. Tarehe 29 April 2024 Wizara ya katiba na sheria iliwasilisha hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Bunge liliijadili na kuidhinisha kiasi cha Shilingi Bilioni...
  20. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
Back
Top Bottom