maono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Maono ya kibunifu katika nyanja ya afya kwa miaka 25 ijayo

    Utangulizi Tanzania inajivunia historia ya maendeleo katika sekta ya afya, lakini bado kuna changamoto zinazohitaji ubunifu na maono ya muda mrefu ili kuboresha hali ya afya ya wananchi. Maono haya yanajumuisha mipango ya kibunifu ambayo inaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25...
  2. K

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye maono ya kibunifu ambayo yanaweza kutekelezeka ndani ya miaka 5, 10, 15 hadi 25 ijayo katika nyanja mbali mbali

    Kuunda Tanzania bora zaidi katika miaka ijayo kutafuta mbinu madhubuti na mawazo bunifu ya kutekelezeka katika nyanja mbalimbali. Kupitia mipango ya miaka 5, 10, 15, na 25, tunaweza kuona mabadiliko makubwa katika elimu, maendeleo ya vijana, kuwawezesha wanawake na watoto, kuboresha kuboresha...
  3. K

    SoC04 Kuendeleza Tanzania kufikia maono ya kibunifu katika miaka ijayo inahitaji mkakati thabiti na mipango madhubuti katika nyanja mbalimbali

    Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye. 4. Miaka 25...
  4. mussason

    SoC04 Kuelezea Tanzania ya Kesho: Maono ya Kibunifu kwa Mustakabali Endelevu

    Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii na vipaji vingi. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili na kufanikiwa katika kuleta maendeleo endelevu, ni muhimu kuwekeza katika maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha maisha ya Watanzania...
  5. HONEST HATIBU

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Mfumo wa Haki Usio na Uonevu

    Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Tanzania yenye Haki na Usawa Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa katika mfumo wetu wa haki. Watu wasio na hatia mara nyingi hufungwa jela, wakati wahalifu wanakimbia...
  6. HONEST HATIBU

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15 na 25

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto nyingi za miundombinu, ikiwa ni pamoja na barabara mbovu, madaraja mabovu, na ukosefu wa usafiri wa kuaminika. Changamoto hizi zimekuwa zikichangia maafa na vifo, haswa wakati wa...
  7. RASHID ELLY KENAN

    SoC04 JamiiForums ijitanue katika utetezi wa watu wenye uhitaji maalum

    Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa. Jamii Forums miaka sita...
  8. X

    SoC04 Maono ya kibunifu katika sekta ya afya kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    Utangulizi: Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha sekta ya afya na kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wake. Kupitia maono ya kibunifu na mikakati ya utekelezaji, tunaweza kufikia afya bora na endelevu kwa wote. Hapa chini ni mpango ni baadi ya maono ya kibunifu kuelekea maendeleo ya sekta ya...
  9. Erythrocyte

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Kairuki Amshukuru Rais Samia kwa Maono Makubwa Kwenye Uhifadhi na Utalii

    WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa...
  11. Konseli Mkuu Andrew

    Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  12. P

    Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  13. Mzalendo Uchwara

    Kwa jinsi Waziri wa Afya alivyokuwa na maono, kinachofuata ni kuongeza makato kwa wachangiaji

    Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF. NHIF ina changamoto kuu mbili 1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo. 2...
  14. African businesses

    Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

    Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la michezo, kwanza kabisa niseme tu mimi nimekua nikafatilia Kwa club michuano hii mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa. Nikitazama kwa jicho la kiufundi kabisa naiona timu ambalo yupo Yanga, litatoa timu zitazokutana fainal au timu mojawapo katika...
  15. R

    Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  16. R

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3) MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI. Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janejelly Ntate Aendesha Semina ya Utekelezaji wa Maono ya Mama Samia kwa Akina Mama wa Mkoa wa Dar

    MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
  18. S

    Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

    Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake. Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
  19. MamaSamia2025

    CHADEMA ni wazalendo. Wanaishi kwa vitendo maono ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Huu uzi ni maalum kuwapa maua yao wenzetu kwenye siasa, CHADEMA, kwa uzalendo mkubwa wanaouonyesha kwa nchi yetu ya Tanzania. Na pia kwa muda mrefu wameonyesha kuishi kwa vitendo kwenye maono ya baba wa taifa, Mwalimu Nyerere. Wiki hii mara baada ya uteuzi na kukabidhiwa ofisi kwa katibu...
  20. Mhafidhina07

    Mwenye maono ya ndoto kuja hapa

    Salaam! Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima na uhai hadi sasa nipo safi na njema sana, then am going straight to the point mimi ni kawaida yangu kupata ndoto every day lakini jana nilipata ndoto ambayo iliniamsha na imenishitua. Kwenye ndoto nimeona kama napigiwa simu na shangazi yangu alikuw...
Back
Top Bottom