mungu

  1. Tlaatlaah

    Nashukuru Mungu kunusurika ajali leo

    Katika ajali niliyoipata mchana wa leo Jumamosi May 11, 2024.. Mwenyezi Mungu ameninusuru, na amenijalia ahuweni ya mapema kwenye majeraha mabaya niliopata kwenye mguu wangu wa kulia na kwenye michubuko michache maeneo mbalimbali ya mwili. Nashukuru Mungu pia wahusika wengine wa ajali hiyo...
  2. Andre-Pierre

    Kwanini Maaskofu wa Katoliki wanahubiri neno la Mungu kwa upole tofauti na wenzao wa madhehebu mengine?

    Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana. Tafakari…
  3. Yesu Anakuja

    Mungu aweza kukutoa kwenye hiyo shida!

    AMINI AHADI ZA MUNGU ZITATOKEA KWAKO HESABU 23:19, Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu, ajute, iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Ref: 1Samwel 15:29, Malaki 3:6, Tito 1:2) 1FALME 8:56, Na ahimidiwe Bwana, aliyewapa watu wake Israel kustarehe, vile vile kama...
  4. L

    Paul Makonda ni Mpakwa Mafuta wa Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Ukifuatilia kwa umakini na ukatafakari kwa undani na ukatizama kile anachokifanya Mheshimiwa Makonda Mwamba Mwenyewe katika majukumu yake anayokuwa amepewa na kuaminiwa na mamlaka za juu. Unakuja kugundua katika ulimwengu wa kiroho kuwa huyu Mwamba ni mpakwa mafuta wa...
  5. ndege JOHN

    Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
  6. Mshamba wa kusini

    Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu sana YESU kuliko huyu Mungu Baba Lengo ni kuelewa kipi ni kipi maana naona kama wanatofautiana sana...
  7. Mshuza2

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth ==== Pia soma: TMA...
  8. D

    Hakuna ambaye ameoa au kuolewa atauona ufalme wa mungu. Ushahidi huu hapa

    Ukiangalia mitume wale 12, Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura. Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake. Siku ndoa ni kikwazo...
  9. GoldDhahabu

    Watunza mazingira nao ni "watumishi" wa Mungu hata kama hawaamini katika Mungu

    Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo. Ni mpaka nilipoelewa Andiko la Mwanzo 7: 1 - 5 kwa namna nyingine ndipo "nilipowaelewa" Duniani kote...
  10. Uzalendo wa Kitanzania

    Mkuu wa tawi la chuo Kikuu cha Al Mustapha , Ali Taghavi awataka waislam kuipenda quraan kwani imetoka kwa Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
  11. R

    Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  12. R

    Nabii J. Steven: Dar yapona ghadhabu ya Mungu, mafuriko yasitishwa

    Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama, Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi...
  13. tpaul

    Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

    Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
  14. Mwanaumke wa mithali

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja. 1 WAKORINTHO 7 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
  15. J

    Unapoumwa Usikate Tamaa na Mungu

    Unapoumwa Usikate Tamaa na Mungu Mwanadamu huumwa kutokana na sababu mbalimbali. Wakati mwingine ni kutokana na kutenda dhambi. Wakati mwingine ni kutokana na kukosa lishe ya mlo wa kila siku, na wakati mwingine ni kutokana na ajali. Mapungufu katika mwili wa mwanadamu yanaweza yakawa ni kusudi...
  16. ndege JOHN

    Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

    Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
  17. R

    Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Salaam ,Shalom!! Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu. Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima...
  18. GENTAMYCINE

    Ewe Mwenyezi Mungu hujawahi Kuacha Kusikia na Kutendea Kazi Maombi yangu basi na leo tena hili Ombi langu Ulikubali na litokee kama nitakavyo

    "Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
  19. G

    Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
Back
Top Bottom