Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,339
23,086
Salaam ,Shalom!!

Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk

Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu.

Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima kuporomoka,Matetemeko nchini Turkey yalioua watu zaidi ya 20,000 ,vimbunga vya kutisha, mafuriko ambayo hayajawahi tokea, kuyeyuka Kwa barafu Nchi za Urusi, Syberia na kusababisha miji kuzama ndani ya maji, moto kuchoma majiji kadhaa na kuyaacha majivu, Si Bahati mbaya, ni kipigo Toka juu.

Kukosa kujua chanzo Cha majanga ni kukosa pia Mbinu ya kukabiiana nayo, lakini ukishajua chanzo sahihi, utakuwa katika position njema kukabiiana nayo.

SOLUTON:
- Ikiwa ulikuwa unapeleka mapato Yako bar, Badili ,acha pombe, Rudi kuhakikisha maskini na majirani wasio na uwezo wanapata chakula.

-Ikiwa wewe ni kahaba, chama chana nguo za kikahaba, Vaa kiheshima, nenda katika nyumba za Ibada utengemeze na Mungu.

-Mnaoiba uchaguzi acheni, mnaoiba pesa za umma acheni mara Moja, tubuni Ili msiondoke na majanga haya.

- Mlio ndani ya NDOA, acheni kuchepuka, tunzeni familia zenu, Rudi katika TOBA na maombi ya familia na Nchi, na Ulimwengu.

- Kimbilia mlimani, mlimani ni Mahali pa kutafuta uso wa Mungu, funga na kuomba Kwa ajili ya nchi ,JAMII na ukoo wako.

ANGALIZO: Mungu ameruhusu majanga na kipigo mfululizo Kwa miaka Saba, kuanzia 2024 Hadi 2030. Usiposikia nikwambiacho, utakufa HAKIKA, maana majanga hayatakoma.

Huu Si muda wa kuenjoy, ni muda wa kuvaa magunia, kuomboleza, kutengeneza na Mungu.

Mwenye kusikia na asikie.

Aamen.
 
Waafrika huu upumbavu unaoitwa dini na 'kuomba mungu' utawatoka lini????!!! Hawa wa Japan wangekua na akili za 'tuombe mungu' unadhani wangeweza kuwa na teknolojia ya kujenga majengo marefu yenye uwezo wa kukabiliana na matetemeko ya ardhi kwa mafanikio makubwa??!!! Wa Afrika tuache kulaza akili. Mvua kidogo tumeshaanza kulia na ujinga ule ule 'tuombe mungu', ujinga mtupu.
 
!! Hawa wa Japan wangekua na akili za 'tuombe mungu'
20240403_221349.jpg
 
Waafrika huu upumbavu unaoitwa dini na 'kuomba mungu' utawatoka lini????!!! Hawa wa Japan wangekua na akili za 'tuombe mungu' unadhani wangeweza kuwa na teknolojia ya kujenga majengo marefu yenye uwezo wa kukabiliana na matetemeko ya ardhi kwa mafanikio makubwa??!!! Wa Afrika tuache kulaza akili. Mvua kidogo tumeshaanza kulia na ujinga ule ule 'tuombe mungu', ujinga mtupu.
Wapi hapo katika thread imeongelewa dini?

Tujikite kwenye mada 🙏
 
Wenzenu hayo majanga wanasayansi wanajifungia ndani waje na Majibu nyie mnataka kutubu ,😂😂😂😂

Kweli Africa ni mang'ombe
Hujui kuwa nzige walizuiwa kuingia nchini Kupitia maombi, wakaishi mpakani?

Hujui kuwa Ebola pia Huwa inazuiwa isivuke mpaka kupitia maombi?

Usidharau maombi ya mwenye HAKI🙏
 
Salaam ,Shalom!!

Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk

Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu.

Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima kuporomoka,Matetemeko nchini Turkey yalioua watu zaidi ya 20,000 ,vimbunga vya kutisha, mafuriko ambayo hayajawahi tokea, kuyeyuka Kwa barafu Nchi za Urusi, Syberia na kusababisha miji kuzama ndani ya maji, moto kuchoma majiji kadhaa na kuyaacha majivu, Si Bahati mbaya, ni kipigo Toka juu.

Kukosa kujua chanzo Cha majanga ni kukosa pia Mbinu ya kukabiiana nayo, lakini ukishajua chanzo sahihi, utakuwa katika position njema kukabiiana nayo.

SOLUTON:
- Ikiwa ulikuwa unapeleka mapato Yako bar, Badili ,acha pombe, Rudi kuhakikisha maskini na majirani wasio na uwezo wanapata chakula.

-Ikiwa wewe ni kahaba, chama chana nguo za kikahaba, Vaa kiheshima, nenda katika nyumba za Ibada utengemeze na Mungu.

-Mnaoiba uchaguzi acheni, mnaoiba pesa za umma acheni mara Moja, tubuni Ili msiondoke na majanga haya.

- Mlio ndani ya NDOA, acheni kuchepuka, tunzeni familia zenu, Rudi katika TOBA na maombi ya familia na Nchi, na Ulimwengu.

- Kimbilia mlimani, mlimani ni Mahali pa kutafuta uso wa Mungu, funga na kuomba Kwa ajili ya nchi ,JAMII na ukoo wako.

ANGALIZO: Mungu ameruhusu majanga na kipigo mfululizo Kwa miaka Saba, kuanzia 2024 Hadi 2030. Usiposikia nikwambiacho, utakufa HAKIKA, maana majanga hayatakoma.

Huu Si muda wa kuenjoy, ni muda wa kuvaa magunia, kuomboleza, kutengeneza na Mungu.

Mwenye kusikia na asikie.

Aamen.
Nafikiri Dunia inafanya yake tu.. inajibalance.
 
Unabii wa Dar kuangamia mwezi wa 4 umetimia au bado.? Au mungu wa nabii wako alitutisha tu?
 
Back
Top Bottom