wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Mke wangu kanipa wakati mgumu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida. Mbaya zaidi hizo msg...
  2. PureView zeiss

    Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

    Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya...
  3. Baba Kisarii

    Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

    Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice. Yaani nimeumia...
  4. Toto mol

    Nimeenda kwa Mganga nikakuta ni classmate wangu,

    Si tumecheka na tukapika yule kuku ambaye nimekuja nae,🤣😂😂 maisha ni kujuana bana
  5. Martine Nzwanilo

    Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
  6. BEST 001

    Mungu wangu sio kiziwi bado naamini atasikia sala zangu na juhudi zangu hata nikiwa nimeondoka hapa duniani

    Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu. Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu...
  7. KakaKiiza

    Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  8. C

    Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
  9. Mjukuu wa Magika

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  10. passion_amo1

    Kwako Mzee Wangu Mohammed Said

    Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed saidi ni mtu ambaye mara nyingi ameweza kuielezea historia Ya Tanganyika tangu harakati za uhuru...
  11. Roving Journalist

    Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  12. S

    Natafuta mwanamke awe mchumba wangu.

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  13. Mhaya

    Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  14. Minjingu Jingu

    Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  15. dr namugari

    Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  16. Wakulenga

    Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Habari zenu members, Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae kwa akili saana. Hivyo baada ya furaha ya muda ikabidi akili inikumbushe namna nilivompata huyu...
  17. Yuh003

    SoC04 Sitasahau nilivyokoswa na kiberenge enzi za utoto wangu

    Katika kipindi cha makuzi watoto wengi huwa wanapitia nyakati ambazo huatarisha maisha yao hususani watoto ambao ni watundu sana.Sasa kuna kipindi cha utoto wangu tulikuwa na kawaida ya kuzurula sana. Tunajikusanya watoto wa mtaa mzima kila ifikapo wakati wa jioni tunaelekea Relini kucheza...
  18. Loading failed

    Sijawahi kupigiwa simu na mwanamke wangu zaidi ya kutumiwa txt tuu

    Ndugu wana jf poleni na majukumu Kwà kweli simuelewi mpenzi wàngu kabisa. Tokea niwe nae hajawahi kunipigia simu zaidi tuu yà kunitumia meseji basi japo mimi na mpigia simu na kumuungia vifurushi vyenye txt na dk ila hanipigii simu Ndugu sielewi huyu mwanamke shida ni nini ila kwenye txt yupo...
  19. tpaul

    Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

    Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua...
  20. Bob Maxwell

    Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

    Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii...
Back
Top Bottom