Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,671
4,929
Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha.

Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin, aliniita "Baba" na kukiri kuwa anampenda binti yangu.

Kutoka kwenye ubongo wangu mkali na Makini bila kustaajabu wala kupigwa butwaa nikamuuliza ni binti gani kwani nina zaidi ya binti wa kike zaidi ya mmoja, kwa haraka nikasema unazungumzia "Rose", kwa maana ya kwamba huyo Rose ni mpenzi wangu. Nikamuuliza yuko na Rose akasema ndio.

Alisema kuwa amepata namba yangu kutoka kwa simu ya Rose bila ridhaa yake sababu alitaka kunifanyia surprise bila yeye kujua. Aliniuliza ikiwa nimepokea Tsh. 100,000 ambayo alituma kupitia Mpesa.

Nilikagua haraka, nikakuta meseji ya mpesa kisha nikasema ndio. Alisema pesa hizo zilikuwa pesa zake za matumizi tu na anapanga kuja kunitembelea nyumbani hivi karibuni. Alinitakia heri na kuahidi kutuma zaidi kadri siku zinavyokwenda.

SWALI LANGU JE, NIMWAMBIE UKWELI AU NIENDELEA KUPOKEA BARAKA?"
 
I wish iwe story ya kweli, ila hapo kuseviwa hlo jina, jaribu ku gugo kitu kinaitwa DADDY'S KINK af utapata jawabu la kwanini umeseviwa dad
 
Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha.

Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin, aliniita "Baba" na kukiri kuwa anampenda binti yangu. Kutoka kwenye ubongo wangu mkali na Makini bila kustaajabu wala kupigwa butwaa nikamuuliza ni binti gani kwani nina zaidi ya binti wa kike zaidi ya mmoja, kwa haraka nikasema unazungumzia "Rose", kwa maana ya kwamba huyo Rose ni mpenzi wangu. Nikamuuliza yuko na Rose akasema ndio.

Alisema kuwa amepata namba yangu kutoka kwa simu ya Rose bila ridhaa yake sababu alitaka kunifanyia surprise bila yeye kujua. Aliniuliza ikiwa nimepokea Tsh. 100,000 ambayo alituma kupitia Mpesa. Nilikagua haraka, nikakuta meseji ya mpesa kisha nikasema ndio. Alisema pesa hizo zilikuwa pesa zake za matumizi tu na anapanga kuja kunitembelea nyumbani hivi karibuni. Alinitakia heri na kuahidi kutuma zaidi kadri siku zinavyokwenda.

SWALI LANGU JE, NIMWAMBIE UKWELI AU NIENDELEA KUPOKEA BARAKA?"
 
Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    98.4 KB · Views: 4

Huu uyoga ulioouotesha umejulikana ni sumu kutokana na rangi yake ya shina.

Usingeliweka swali la mwisho wa thread nilitaka kujipinda kuanza kushauri.

Swali hilo limenijulisha kuwa uyoga nnaotamani kuuchuma na kuula kumbe ni 'kansalage' ngastuka!
 
Back
Top Bottom