naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sean Paul

    Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  2. instagramer

    Kwa Hii bajeti Ya Wizara Ya Ulinzi Naomba Msinishawishi Kwamba Nchii Hii Ni Masikini

    Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini. Lakini Kwa Bajeti...
  3. A

    Nyuki wananisumbua sana - Naomba MSAADA wenu

    Habari zenu ndugu zangu. Hapa ninapoishi kuna nyuki wapo ndani ya ceiling board. Nimeshawahi kupuliza dawa ya Rungu na kuwaua wote. Lakini kila bàada ya muda mfupi mfano mwezi wanahamia nyuki wengine, napuliza dawa wanakufa, halafu baada ya muda wanakuja wengine. Hawa waliokuja awamu hii ni...
  4. Trainee

    Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
  5. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wenzangu naomba taratibu tulipitie lile Goli la Fred jana hivi Kweli hata Wewe ungekuwa Kipa usingeudaka au hata tu Kuupangua ule Mpira?

    Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri...
  6. Lamzettttt

    Weekend imefika naomba wana JF tuburudike wote na kibao hiki

    Ahsanteni https://youtu.be/v6Zw5duTJeA?si=ZCzpze04z1gcx-T-
  7. OscarkambonaJr

    Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  8. HaMachiach

    Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha. Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa...
  9. BabuKijiko

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
  10. D

    Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko.

    Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
  11. Kusena

    Kilimo Cha ngano: Naomba Ushauri, muda Gani mzuri wa kuanza kulima na namna bora ya kulima, changamoto na bajeti yake?

    Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika kilimo hiki nikiwa na taarifa muhimu. Karibuni
  12. U

    Mtu akiwa na umri wa miaka 23 mwenye uzito wa 48.8 kuna tatizo kiafya?

    Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya. Naomba kujuzwa kitaalamu. Natanguliza shukurani!
  13. R

    Naomba turuhusiwe kutumia VPN wakati wa hili janga la Internet

    Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi...
  14. donlucchese

    Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi Outlander PHEV

    Wakuu, Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme. Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye...
  15. Uzalendo wa Kitanzania

    Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  16. Action and Reaction

    Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  17. Mhaya

    Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  18. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  19. Simeone

    Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso... Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa kupitia betting bila kuloss, niliziangalia sana odds za 1xbet kwa umakini nikagundua kuna mahala...
Back
Top Bottom