masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. instagramer

    Kwa Hii bajeti Ya Wizara Ya Ulinzi Naomba Msinishawishi Kwamba Nchii Hii Ni Masikini

    Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini. Lakini Kwa Bajeti...
  2. ngara23

    Kwanini masikini wana chuki na matajiri?

    Kisaikolojia ikoje? Unakuta mtu amepambana kivyake Sasa amejipata. Kipindi anapambana kutafuta mtaji, connection na ramani, watu wanakuona tu. Sasa ukianza kuinuka kupata japo kidogo uhakika wa watoto kwenda shule vita inainuka. Utaitwa jambazi. Utaitwa muuza madawa ya kulevya. Utaitwa shoga...
  3. Morning_star

    Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

    Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali Huwezi nunua kilo...
  4. HONEST HATIBU

    SOMA HII

    Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka Usisahau kuwakumbuka watoto yatima Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu Usiwasahau wenye hali za chini
  5. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Mamilioni ya Raia Masikini kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote

    Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
  6. JOHN MAXWELL

    Haya mambo ikiwa umetokea familia masikini hauwezi kuyajua.

    Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi. Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali. Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika...
  7. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  8. LIKUD

    Masikini Nabi( Nassredine)

    Alikuwa anaongoza vizuri tu tena kwa tofauti ya point nyingi ila now wameànza kumfanyia mtimanyongo. Jana marefa wa mchongo wamefanya ukhanithi wao mwisho wa siku Nabi kupoteza mechi muhimu. Sasa hivi ana point 64 wanaomfuata Raja Casablanca wana point 60 na mchezo mmoja kibindoni(kiporo)...
  9. Joan lewis

    Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  10. DeepPond

    Rais Biden kuwafungia sola kaya 900,000 masikini nchini Marekani

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini. Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa...
  11. Pdidy

    Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake. Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa. Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  13. F

    Wanawake: ukiona mwanamme anapiga mshindo zaidi ya mmoja kitandani, achana naye fasta huyo ni masikini

    Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii. Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
  14. Teslarati

    SOMO KWA VIJANA: Ijue tofauti ya tajiri na masikini, au tofauti ya millionea na shilingionea

    Unajua haya maisha watu wanaishia kuishi kwa stress kibao sababu hawajijui na hawajui wanachokitaka au wanachotaka kuwa Mfano dogo anataka kuwa tajiri lkn hajui tajiri ni nini/nani. Na hauwezi kuwa tajiri kama ww sio tajiri (najua hujaelewa) Iko hivi, hata kwenye vita yyt ile huwa tunashinda...
  15. T

    Unahitaji nguvu ya ziada kuishinda tamaa ya mapenzi;Kuna nguvu nyingine itakuelekeza huko ili uhangamie na kuwa masikini, ni ngumu kuipinga

    Haya twende kazi bila kurefusha story kichwa cha habari kinajieleza. Unajiapiza nitaenda baa kunywa bia mbili tu, sitaki demu kabisa, tena unachagua sehemu hisiyo na mademu. Ile unamalizia bia ya pili tu, pisi kali ndo zinaingia, kwa mshangao nguvu hiyo hisiyothimilika inawavuta warembo wakae...
  16. Suley2019

    Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

    Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
  17. Frank Wanjiru

    Jemedari Saidi: Masikini hana kiapo wala chaguo

    "Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya CCM vya zamani vimechoka na miundombinu hafifu." "Simba nao hawana kiwanja lakini wamekuwa...
  18. Eli Cohen

    Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity) 1.[emoji1223] South Sudan: $492 2.[emoji1060] Burundi: $936 3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140 4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570 5.[emoji1174] Mozambique: $1,650 6.[emoji1156] Malawi: $1,710 7.[emoji1183]...
  19. Jidu La Mabambasi

    Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki. Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha...
  20. Mjanja M1

    Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Azim Dewji, ameweka wazi kuwa biashara yake ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kuuza mafuta ya Taa. Akifanya mahojiano na CloudsTv Dewji amesema, "Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanunua mafuta ya taa kwenye madebe...
Back
Top Bottom