🚨 MOHAMED DEWJI ATUA UGANDA.
Mfadhili Wa Simba sc na Tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji Yuko mbioni kununua Hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda🇺🇬
Baada ya kuwekeza katika Klabu za Tanzania sasa ni rasmi Mohamed amedhamiria kuwekeza Uganda.
Express FC msimu...
Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba.
Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
Ni tetesi sio habari ya uhakika
Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF
Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz...
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.
Kikao kimeenda vizuri.
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.
Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze.
Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji...
Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile...
MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
Mfadhili wa Zamani wa Simba na Mfanyabiashara wa Tanzania , Mnyaturu wa Singida , Azim Dewji , amekutana na Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , katika kilichoitwa Kikao cha dharula , kilichofanyika kwenye Hotel moja ya Nyota 5 Jijini DSM .
Lissu na Dewji wamezungumza mengi likiwemo la...
Mtangazaji : Tumeongelea vitu vingi sana kuhusu wewe. Watazamaji wengi watakaoangalia hii video wanajua kuwa kutekwa kwako ndio stori wanaihitaji kuisikia . Kuhusu kutekwa nyara naomba utuelezee A-Z ilikuwaje ?
Mo Dewji: Kwa miaka mingi nimekuwa na ratiba ya kuamka na Kwenda Gym saa kumi na...
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema kufuzu kwa Yanga katika hatua ya robo fainali anaepaswa kushukuriwa ni Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji na wa pili Club ya Simba.
“Wakati Mo anakuja kuwekeza Simba alisema vision yake ni kushinda ubingwa wa Afrika na...
Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023
"Mimi ni mshabiki wa vyama...
Mfanyabiashara mkubwa nchini Azim Dewji, ameweka wazi kuwa biashara yake ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kuuza mafuta ya Taa.
Akifanya mahojiano na CloudsTv Dewji amesema,
"Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanunua mafuta ya taa kwenye madebe...
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu.
Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani.
ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999.
Written...
Kampuni ya METL inachangia 3.5% ya pato lote la Taifa Tanzania huku ikiajiri 1.95% ya watu wote walioajiriwa rasmi kwenye sekta binafsi.
METL ilianzishwa na Gulam Dewji mwaka 1970 huku kwa miaka 16 thamani yake ikikua kwa zaidi ya mara 50 mafanikio ambayo sehemu kubwa yalikuwa chani ya mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.