Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi.
Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data.
Tuachane na iPhone...
Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa hawafanyi mitihani.
Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School...
Habarini
Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia.
Wanaingia kwenye...
Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki.
Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa".
Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe?
Hela na afya vyote anavyo lkn...
Nilisiliza maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Bungeni kuhusu mikopo uumiza na wanaofanya biashara ya kukopesha bila leseni, na pia nimesoma tangazo la Benk Kuu(BOT) la tarehe 13/05/2024 linalopiga marufuku kufanya biashara ya kukopesha mitandaoni bila kuwa na leseni, nimebaki...
tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ?
Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu.
Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela?
Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
Sijui niseme halmshauri zetu zimeshindwa hili suala la uzoaji takataka kwani miji mingi naona ni michafu sana na pia wananchi wenyewe wabishi kutoa hela za taka wajumbe wa halmshauri ya kijiji wanalalamikia hili.
So me naona japo ni suala dogo ambalo hata private sector inaweza kuifanya ikipewa...
Nimepitia bajeti ya wizara ya Afya 2024/25 iliyosomwa bungeni May 14, nimekutana na kituko kwa baadhi ya miradi. Mmoja wa mradi wenye kituko ni Uimarishaji ya Hospitali za Rufaa - Mawezi. Mradi huu ulihitaji Sh bilioni 7 na ukapokea bilioni 12 lakini bado haujakamilika, upo 86%. Yaani kuna...
UTANGULIZI
Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting.
Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao tunataka kuwekeza au kufanya biashara ili tutengeneze faida. Mifano hai ya kamali za maisha
1)...
Kuna watu wenye hela zao Sema tu hujakutana nao wapo huko duniani Wanasubiri marafiki wawape pesa fikiria fikiria hela ziko hewani ni wewe kuzidownload tu tafuta rafiki mzuri mwenye idea maana kila kitu kinaanzia kwenye idea.
Akihojiwa na vioa msemaji wa CCM ndugu Amos Makalla amesema anasikitishwa sana hali ndani ya CHADEMA.
Msemaji huyo amesema mambo yanayomsikitisha ni kuona CHADEMA wanakiri kuna hela chafu zimemwagwa huko na pia kuna migawanyiko mikubwa ndani ya chama hicho ambayo MSINGI wake mkubwa ni kugombea...
Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.
Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.
Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika...
Kwa msaada wa wiki pedia
Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza na kwa njia hiyo katika siasa ya nchi hizo kwa jumla.
Kuna nchi nyingi za dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.